TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Wewe una uhakika kuwa UKIMWI ulitengenezwa na wamarekani?
Hiyo dawa ya UKIMWI iko wapi?
Tumsifu yesu kristoNi kweli imegundulika, na ifikipo mwezi wa 6 itaanza kuambazwa nchi zoote
Umeandika kitu gani hapa?Mi nafikiri waarabu wana chakujifunza hapa!! ISRAEL imeanzishwa 1948 lakin hawamatch technologia yao!!
Waache kuvaa mabomu na kulazimisha watu kufuata wanachoamini....waanze kuonesha umuhimu wao kwa dunia....
Sio wao n kununua mtutu na mabomu tu....wawekeze ktk kusave life na technologies kusolve worlds challenges...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tumsifu yesu kristo
Imekufa rasmi kwann na wakati hazijaanza kusambazwa ???Condom biashara imekufa rasmi
Watakunywa tu mbona wanaruhusiwa kula nguruwe kwenye njaa.
Subuuutuuu!Nadhani wamekosea kusema wayahudi/Israel ndiyo wamegundua, ilipaswa waseme kuwa Marekani au nchi nyingine ndiyo wamegundua ili kutoa fursa kwa waathirika wa dini nyingine kuweza kutumia hiyo dawa.
Sasa kwa kutangaza hivyo wengine hawatatumia kwa kuwa bidhaa za nchi hiyo zimesusiwa na dini Fulani pia ni maadui wakuu
Haaa mm skujua kumbe ukimwi ni kwa wazinzi tuWazinzi wanajiandaa kufanya Sherehe!
Angalia idadi ya maambukizi katika hizo nchi za kiarabu,ukichanganya na Afrika kaskazini zenye waislamu wengi(na wasio waislamu wachache),maambukizi ni 0.1%,ukilinganisha na nchi za Afrika zilizo kusini mwa jangwa la Sahara ni 5%.Kuna utofauti mkubwa sana.Itakuwa dini imechangia kupunguza uambukizaji wa magonjwa haya,hasa dini ya kiislamu,kutokana na kukatazwa katika uislamu kufanya tendo la ndoa ,bila ndoa(yaani uzinifu,ni marufuku katika uislamu).Mi nafikiri waarabu wana chakujifunza hapa!! ISRAEL imeanzishwa 1948 lakin hawamatch technologia yao!!
Waache kuvaa mabomu na kulazimisha watu kufuata wanachoamini....waanze kuonesha umuhimu wao kwa dunia....
Sio wao n kununua mtutu na mabomu tu....wawekeze ktk kusave life na technologies kusolve worlds challenges...
mkuu bhana eti uzinifu ni marufuku kwa waislamu ,Angalia idadi ya maambukizi katika hizo nchi za kiarabu,ukichanganya na Afrika kaskazini zenye waislamu wengi(na wasio waislamu wachache),maambukizi ni 0.1%,ukilinganisha na nchi za Afrika zilizo kusini mwa jangwa la Sahara ni 5%.Kuna utofauti mkubwa sana.Itakuwa dini imechangia kupunguza uambukizaji wa magonjwa haya,hasa dini ya kiislamu,kutokana na kukatazwa katika uislamu kufanya tendo la ndoa ,bila ndoa(yaani uzinifu,ni marufuku katika uislamu).
lakini watu wanakufa kweliNilipata ajali ya UKIMWI nikiwa kazini kwa maana ya nijiprick kidogo na sindano nilimhidumia mgonjwa.
Nilivyokwenda kumpima akawa HIV positive nilihisi Dunia chungu.
Nikanywa zile PEP kwa siku 28.
Baada ya muda huo mpaka leo nimepima several times niko poa.
Lakini nilichojifunza na naelekea kuamin HIV ni uongo mkubwa sana uliowahi kutokea katika medical.
Nilitafuta documentaries kibao na articles nikasoma kuhusu wale wanaopinga HIV maarufu kama HIV DENIALISM eee bhana tufuatilieni mambo.
Wewe julize swali kwa nini nchi zenye waislamu wengi,maambukizi ni 0.1,nchi za mashariki ya kati(ikiwemo Israel,na wakristo waarabu,je ingekuwa ni waislamu watupu ingekuwa ni chini ya hapo)pamoja na Afrika ya Kaskazini yenye waislamu wengi(na wachache wasio waislamu).mkuu bhana eti uzinifu ni marufuku kwa waislamu ,
nakuuliza kitu kimoja ni dini gani imeruhusu uzinifu?