Dawa inayodaiwa kutibu UKIMWI yagundulika nchini Israel

Dawa inayodaiwa kutibu UKIMWI yagundulika nchini Israel

Status
Not open for further replies.
Mi nafikiri waarabu wana chakujifunza hapa!! ISRAEL imeanzishwa 1948 lakin hawamatch technologia yao!!
Waache kuvaa mabomu na kulazimisha watu kufuata wanachoamini....waanze kuonesha umuhimu wao kwa dunia....
Sio wao n kununua mtutu na mabomu tu....wawekeze ktk kusave life na technologies kusolve worlds challenges...
Umeandika kitu gani hapa?
 
Watakunywa tu mbona wanaruhusiwa kula nguruwe kwenye njaa.

Aiseee,

Dini za kuletwa ni majanga sana ,.ndiyo maana sitaki hizi habari za dini uchwara za wazungu, waarabu wakae nazo huko huko.

Maana huo ni unafiki. Kukiwa na chakula nguruwe akipita karibu na kwao au nyumba yao ya ibada mwenye hizo nguruwe anaweza akapotezwa kabisa, kumbe tumbo likichachamaa wanagonga mzigo?

Basi tena!
 
Nadhani wamekosea kusema wayahudi/Israel ndiyo wamegundua, ilipaswa waseme kuwa Marekani au nchi nyingine ndiyo wamegundua ili kutoa fursa kwa waathirika wa dini nyingine kuweza kutumia hiyo dawa.
Sasa kwa kutangaza hivyo wengine hawatatumia kwa kuwa bidhaa za nchi hiyo zimesusiwa na dini Fulani pia ni maadui wakuu
Subuuutuuu!
Labda siyo ngoma hata nanii akipata atazinywa kwa siri
 
Mi nafikiri waarabu wana chakujifunza hapa!! ISRAEL imeanzishwa 1948 lakin hawamatch technologia yao!!
Waache kuvaa mabomu na kulazimisha watu kufuata wanachoamini....waanze kuonesha umuhimu wao kwa dunia....
Sio wao n kununua mtutu na mabomu tu....wawekeze ktk kusave life na technologies kusolve worlds challenges...
Angalia idadi ya maambukizi katika hizo nchi za kiarabu,ukichanganya na Afrika kaskazini zenye waislamu wengi(na wasio waislamu wachache),maambukizi ni 0.1%,ukilinganisha na nchi za Afrika zilizo kusini mwa jangwa la Sahara ni 5%.Kuna utofauti mkubwa sana.Itakuwa dini imechangia kupunguza uambukizaji wa magonjwa haya,hasa dini ya kiislamu,kutokana na kukatazwa katika uislamu kufanya tendo la ndoa ,bila ndoa(yaani uzinifu,ni marufuku katika uislamu).
 
mkuu bhana eti uzinifu ni marufuku kwa waislamu ,

nakuuliza kitu kimoja ni dini gani imeruhusu uzinifu?
 
Nilipata ajali ya UKIMWI nikiwa kazini kwa maana ya nijiprick kidogo na sindano nilimhidumia mgonjwa.

Nilivyokwenda kumpima akawa HIV positive nilihisi Dunia chungu.

Nikanywa zile PEP kwa siku 28.

Baada ya muda huo mpaka leo nimepima several times niko poa.

Lakini nilichojifunza na naelekea kuamin HIV ni uongo mkubwa sana uliowahi kutokea katika medical.

Nilitafuta documentaries kibao na articles nikasoma kuhusu wale wanaopinga HIV maarufu kama HIV DENIALISM eee bhana tufuatilieni mambo.
lakini watu wanakufa kweli
 
mkuu bhana eti uzinifu ni marufuku kwa waislamu ,

nakuuliza kitu kimoja ni dini gani imeruhusu uzinifu?
Wewe julize swali kwa nini nchi zenye waislamu wengi,maambukizi ni 0.1,nchi za mashariki ya kati(ikiwemo Israel,na wakristo waarabu,je ingekuwa ni waislamu watupu ingekuwa ni chini ya hapo)pamoja na Afrika ya Kaskazini yenye waislamu wengi(na wachache wasio waislamu).
Maambukizi ni 0.1%,wakati Afrika kusini ya jangwa la Sahara yenye idadi kubwa ya wasio waislamu,maambukizi 5%.?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom