kiboko ya popo
Member
- Nov 7, 2021
- 35
- 21
- Thread starter
- #21
Dawa inayoangamiza popo kwa ufanisi wa asilimia 100% bado inapatikana .. weka mazingira yako Safi na salama .. get rid of bat..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akikwambia unitag,maana hajibu hili swaliUnauzaje hiyo dawa ya popo?
Mkuu dawa ni sh 60,000 kwa kopo mojaAkikwambia unitag,maana hajibu hili swali
Mkuu mbaya ni kama wanakaa ndani ya nyumba,, mkuu hii dawa ni ya kupaka kama mafuta au greese hivi.. Kama unataka kuwakimbiza unategea wakiwa wametoka then unapaka sehemu chache wanazokaa wataondoka na kufa hii dawa Ina ukinzani mkubwa Sana na popo akipata harufu yake au akijigusa na hii dawa lazima afe tuu au popo akishapata madhara ya hii dawa anawaambuziza wenzake so inakua ni vurugu lazima wakimbie tuu..Note.. popo ni miongoni mwa viumbe vigumu Sana Tena Sana kufa kama usipokua na dawa sahihi ya kumuangamizaSasa kwangu wako wengi wanakaa kwenye muembe mkubwaaa. Hapa niapply vipi hii dawa? Unataka kuniambiwa inabidi nipande juu ya muembe na kumwagia kwenye matawi??? Mbona mtihani
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ndio dawa hii?Popo kanyea mbingu
Dawa inayomuua Popo.... Binadamu anaweza kuilamba na asipate madhara. ???Mkuu dawa hii Haina madhara yoyote kwa binadamu unaweza hata kulamba ila ni angamizo kubwa Sana la popo dawa hii ni botanical but iko packed kisasa kwa kipimo maalum.
Kwa sasa dawa nyingi za viwandani zimeshindwa kuua popo kama nuvan, vidonge vya kuhifadhi mahindi , profectron etc.. hii dawa ndo angamizo sahihi la popo inafanya kazi kwa ufanisi wa 100%.. inateketeza na kuua popo wote wale wakubwa na wadogo..
Hahaha mkuu ndivyo ilivyo trust me medicine kills bat 100%.. popo ni kiumbe wa ajabu Sana fikiria madawa yote makali Kama nuvan, profectron , vidonge vya kuhifadhi mahindi vile vyenye harufu Kali vimegonga mwamba,,hii dawa inamuua popo kwa urahisi Sana wewe unapaka kidogo tuu Kama mafuta kwenye Yale mashimo anayo ingilia au kutokea dawa hii akijigusa nayo tuu au harufu yake akiipata hapo moja kwa moja huyo popo lazima afe kifupi hii dawa inamdhuru popo kupitia harufu na kujigusa inaingia kwenye mfumo wake wa upumuaji.. kama wewe ni mkulima Kuna dawa unakuta inampiga tuta absoluta but Ina fail kwa white fly au kuna dawa kwa harufu tuu inakimbiza na kuua mapanzi kama mupaforce na duduba but mdudu mdogo kama tuta au black mite was flowers hiiwezi kumpiga ..kifupi dawa hii haimdhuru popo kupitia kuila no ..inamdhuru kwa harufu na kuigusaDawa inayomuua Popo.... Binadamu anaweza kuilamba na asipate madhara. ???
Embu acheni utani na maisha ya watu.... Hata Kama ni pesa zinatafutwa. Toa elimu vizuri na kwa usahihi.
Dawa inayomuua Popo.... Binadamu anaweza kuilamba na asipate madhara. ???
Embu acheni utani na maisha ya watu.... Hata Kama ni pesa zinatafutwa. Toa elimu vizuri na kwa usa
Mkuu dawa haimdhuru popo kupitia kuila au kuilamba harufu yake tuu au akigusana nayo ndo inamnduru so akigusana nayo mmoja means anaondoka na harufu yake na ujue popo Wana kawaida ya kugusana wakati wa kuruka angani so popo mmoja akiigusa Ana uwezo wa kusambaza na kuua popo wengine zaidi ya ishirini kama akiwa ameigusa na Ana harufu ya dawa wengine wakipata hiyo harufu nao wanakufa .. Pia harufu yake kwa. Wewe binadamu sio Kali hata kidogo but kwa popo Ina madhara ya kutisha .. so trust me this botanical medicine kills bat 100%Dawa inayomuua Popo.... Binadamu anaweza kuilamba na asipate madhara. ???
Embu acheni utani na maisha ya watu.... Hata Kama ni pesa zinatafutwa. Toa elimu vizuri na kwa usahihi.
Inaweza ikapatikana ya kunguru, wamekuwa kero sana hapa kwanguHello..
Popo wamekua ni changamoto kubwa sana kwa mazingira yetu ya majumbani na mazingira yanayotuzunguka.Popo husababisha madhara na uharibifu katika nyumba zetu kama
1. Uchafuzi wa nyumba zetu kama madari na ukuta
2. Kelele nyakati za usiku
3. Popo ana uwezo wa kubeba virusi vya magonjwa mbalimbali
4. Popo hubeba kunguni, haya ni madhara machache ya popo katika majumba yetu..
Hapa nakuletea dawa maalum kwa ajili ya kuangamiza na kuteketeza kabisa popo katika mazingira yako,, popo wote watakufa na kukimbia katika mazingira yako.
Kwa uhitaji wa dawa hii unaweza kunipata kwa no. Hii 0787370180 na 0759359218. Kwa sasa napatikana mikoa ya Arusha na Moshi ila mkoa wowote naweza kukutumia. Pata dawa hii kuweka mazingira yako safi, salama.
Bei ya dawa ni sh 60,000 kwa kopo moja... Kopo lina kama uzito wa kilo moja kwa ujazo huu unauwezo wa kuua na kukimbiza maelfu ya popo.. Ufanisi wa dawa hii ni asilimia Mia moja 100%
View attachment 2005467
View attachment 2005468
View attachment 2005469
View attachment 2005470
😂😂 Mkuu ya kunguru sina but ikipatikana nitaweka bandiko, hivi viumbe vyote vyenye kero kwa binadamu kuna namna ya kuviangamiza cha msingi tuongeze tafiti..Unaweza
Inaweza ikapatikana ya kunguru, wamekuwa kero sana hapa kwangu
Pia kujazia hii dawa jinsi isivyokua na madhara kwa binadamu haina madhara kwa ndege yoyote tulishafanya utafiti kwa kuweka kwenye viota vya ndege hakuna ndege aliyekufa wala aliyehama 🥴🥴Dawa inayomuua Popo.... Binadamu anaweza kuilamba na asipate madhara. ???
Embu acheni utani na maisha ya watu.... Hata Kama ni pesa zinatafutwa. Toa elimu vizuri na kwa usahihi.