Kwangu ukinitenga na pombe siwezi kujua kama nimeacha au nimeishiwa tu.Watu wengi ili waache walichokizoea ni hadi uwatenge na kitu hicho. Wasikione kabisa!
Kaka itoshe kusema, yenyewe inapendana nawe, wewe unapendana nayo, yaani Mnapendana!Mh kula vizuri kaka ? Hapana ninachojua yeye ni rafiki yangu ,yeye ni mke wangu ,yeye ni mkaribu wangu no way naweza kusema bila kula vizuri atanisumbua ,yeye ni wangu na mimi ni wake .
Anyway uko wapi rafiki ? Sogea Strio hapa karibu na hospitali hii ,tupate vitu
Hakika sasa tumeelewana .Kaka itoshe kusema, yenyewe inapendana nawe, wewe unapendana nayo, yaani Mnapendana!
Umenifundisha kitu kipya leo. Kwa hiyo ili ujiamini kabisa kuwa umekiacha kitu fulani unatakiwa uwe unakiona na unauwezo wa kukichukua, lakini hukichukui! 😂Kwangu ukinitenga na pombe siwezi kujua kama nimeacha au nimeishiwa tu.
Ndiyo maana nikiacha pombe lazima iwepo ndani nyumbani naiona kila siku.
Hapa nina Tequila, Scotch, Gin, wines, beers.
Nikiziona na kuzipita kila siku ndiyo najua nimeacha.
Nikiwa sina pombe ndani najiona kama nimeishiwa tu sijaacha mwenyewe.
Kabisa ndugu yangu.Hakika sasa tumeelewana .
Naam,Umenifundisha kitu kipya leo. Kwa hiyo ili ujiamini kabisa kuwa umekiacha kitu fulani unatakiwa uwe unakiona na unauwezo wa kukichukua, lakini hukichukui! 😂
Kabisa.Naam,
Ingawa naelewa pia wanaokataa kabisa kuwa nacho ili kujiondokea kishawishi.
Huu ndio ushaur mzurii na WA muda woteeeeeee naomba tufunge mjadalaPombe unaacha tu.
Kama unavyomuacha mpenzi mbaya.
Kama unavyoacha social media yenye umbea.
Unatakiwa kuelewa kuwa wewe ndiye una control.
Dawa ya kuacha ipo kichwani mwako.
Usipoweza kutumia dawa hiyo, hizi nyingine zote zitashindwa tu.
Kuna jamaa mmoja pombe zime mletea shida ya ini na Figo ila alikua hatua za mwanzo mwanzo now kakaa miezi minne now naona karejea kwa kasiiNaam,
Ingawa naelewa pia wanaokataa kabisa kuwa nacho ili kujiondokea kishawishi.
Haaaha inaitaji Roho ngumu mtu mwingine hawezi ni kama kuona makebo waziwazi yamenona na kuyala kwa machoUmenifundisha kitu kipya leo. Kwa hiyo ili ujiamini kabisa kuwa umekiacha kitu fulani unatakiwa uwe unakiona na unauwezo wa kukichukua, lakini hukichukui! 😂
We mtu unapenda show za kibabe sana.Huu ndio ushaur mzurii na WA muda woteeeeeee naomba tufunge mjadala
Umemaliza Kila kitu.
Mimi nakunywa Kila siku ila ni kwa kiasi TuWe mtu unapenda show za kibabe sana.
Hujui kuna watu wana uraibu na hawana control kihivyo inabidi twende nao polepole?
Amejibu kaka ndegeee, kasema ni kuamua TUKiranga alishaacha kutumia pombe tangu 2024. Sijui aliwezaje.
Kaka tumekuja kakaa
Si kila mtu ana uwezo huo mkuu.Mimi nakunywa Kila siku ila ni kwa kiasi Tu
Ni kweli kabisa Mimi nilipumzika kunywa mwaka na miezi kadhaa.Pombe unaacha tu.
Kama unavyomuacha mpenzi mbaya.
Kama unavyoacha social media yenye umbea.
Unatakiwa kuelewa kuwa wewe ndiye una control.
Dawa ya kuacha ipo kichwani mwako.
Usipoweza kutumia dawa hiyo, hizi nyingine zote zitashindwa tu.
Pole sana mkuu. Sasa kesi ya kupoteza begi imeishaje?Ni kweli kabisa Mimi nilipumzika kunywa mwaka na miezi kadhaa.
Baada ya kupoteza begi lenye pesa nyingi tu ambazo hazikuwa zangu.
Kwanza kila nikiona bia nilikuwa nasisimkwa mwili Kwa hofu na uoga ,SITASAHAU
kwahiyo ukisema kuacha pombe hadi unywe dawa haiingii akilini
Bora umeacha huo unywaji ni mkubwa sanaa.Si kila mtu ana uwezo huo mkuu.
Kwa mfano, mimi ni mzuri sana katika kuacha kunywa kabisa.
Lakini nikiwa nakunywa, kunywa kwa kiasi ni vigumu. Halafu I have a high tolerance for alcohol kwa hiyo nakuwa nakunywa tu.
Yani kirahisi kabisa unaweza kunikuta on my third and fourth highland single malt double double.
Na kwa kujielewa hivyo, nikaamua kuacha kabisa. Kitu ninachoweza kufanya kwa urahisi kuliko kunywa kwa kiasi.
Hakukuwa na namna zaidi ya kuomba muda na kulipa Kwa awamu 54 millions siyo rahisi,Kwanza sikusema nimepoteza ningeonekana mzembe na kupata aibu zaidi ,nilisingizia wife kaingiza Ile pesa kwenye biashara yetu.Pole sana mkuu. Sasa kesi ya kupoteza begi imeishaje?
Ila bora kupoteza pesa zinaweza kutafutwa tena, kuna watu wanapoteza uhai kwa sababu ya pombe.