Dawa kutoka Madagascar na viroja vya watawala wa Tanzania

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
17,499
Reaction score
25,295
Amani iwe nanyi

Mtakumbuka raisi wenu mpendwa, mimi simo maana sipendi watawala, napenda viongozi tena wapenda haki na usawa yeye sio mmoja wapo.

Raisi wa Tanzania ameshawahi kuuhadaa umma wa Watanzania kwamba kuna dawa ya Corona imepatikana huko Madagascar na kwamba dawa ile inatibu COVID 19.

Akaenda mbali na kumtuma Waziri wake wa mambo ya nje akitumia ndege ya umma aliyoiagiza akiwa ndani na mtengeneza ndege bila hata kufuata sharia zetu za manunuzi.

Waziri akaenda na akarudi na michupa ya juice kama ya AZAM. Ni muda sasa tangu waziri na raisi wake wajitape kwamba wanawajali sana wa Tanzania na kwamba wamepeleka lindege wao kwenda kuchukua maji yale huko Madagascar.

Mbona hatujaambiwa dawa ile walikunywa Watanzania gani au tuseme watanzania waliokunywa ni wao wenyewe?
unatuma ndege yetu mpaka madagascer bila kutuambia matokeo ya safari. sisi wavuja jasho wa KARIAKOO tunauliza hivi:

Je, dawa ile walikunywa kinanani maana huku Kariakoo haijafika?
Je, gharama za kurusha ndege mpaka Madagascar zinaendana na faida za dawa ile?
Kama dawa ilikuwa na matokeo chanya au hasi.
Kama dawa ilinywewa. walikunywa wakina nani na kwanini wasipewe watu wote?
Mwisho, msituambie tu COVID-19 imeisha, twambieni wamekufa wangapi mkijumuisha na wale mliokuwa mnawazika usiku kule makaburi ya Kondo njia ya Ununio.
 
Kama ipo kaa ndani unatembea kuelekea wapi?
 
Ngumu kumeza,dawa wanywe wao,kupona wapone wao sisi wanyonge tukafie mbali.

La muhimu serikali wapate kodi ya mbao za majeneza yetu,na pia kodi kutoka sanda na ubani wetu.
 
Amani iwe nanyi

Mtakumbuka raisi wenu mpendw, mimi simo maana sipendi watawala, napenda viongozi tena wapenda haki na usawa yeye sio mmoja wapo.

Raisi wa Tanzania ameshawahi kuuhadaa umma wa Watanzania kwamba kuna dawa ya Corona imepatikana huko Madagascar na kwamba dawa ile inatibu COVID 19.

Mbona hatujaambiwa dawa ile walikunywa Watanzania gani au tuseme watanzania waliokunywa ni wao wenyewe?
unatuma ndege yetu mpaka madagascer bila kutuambia matokeo ya safari. sisi wavuja jasho wa KARIAKOO tunauliza hivi:

Mwisho, msituambie tu COVID-19 imeisha, twambieni wamekufa wangapi mkijumuisha na wale mliokuwa mnawazika usiku kule makaburi ya Kondo njia ya Ununio.

Kwa kuwa wewe mwenyewe, mwanafamilia, ndugu, jirani au rafiki hamjaugua, ni wazi kwamba:
• hujui hiyo dawa kuwa inatolewa na kutibu; na
• korona haipo.

Ukitaka kujua kama hiyo dawa ipo au korona bado ipo acha kuzingatia masharti ya kujikinga dhidi ya maambukizi. Kwa kuwa unataka kujua idadi, kuwa mmoja wa walioambukizwa na usipotajwa amini takwimu zinafichwa.

Hilo la wewe kutokumpenda Rais ni lako kama na wewe usivyopendwa hadi kuishi kwa malalamiko na lawama. Utakufa kabla ya kufaidi maisha yako hapa duniani.
 
Amani iwe nanyi

Mtakumbuka raisi wenu mpendw, mimi simo maana sipendi watawala, napenda viongozi tena wapenda haki na usawa yeye sio mmoja wapo.

Raisi wa Tanzania ameshawahi kuuhadaa umma wa Watanzania kwamba kuna dawa ya Corona imepatikana huko Madagascar na kwamba dawa ile inatibu COVID 19.

Akaenda mbali na kumtuma waziri wake wa mambo ya nje akitumia ndege ya umma aliyoiagiza akiwa ndani na mtengeneza ndege bila hata kufuata sharia zetu za manunuzi.

Waziri akaenda na akarudi na michupa ya juice kama ya AZAM. Ni muda sasa tangu waziri na raisi wake wajitape kwamba wanawajali sana wa Tanzania na kwamba wamepeleka lindege wao kwenda kuchukua maji yale huko Madagascar.

Mbona hatujaambiwa dawa ile walikunywa Watanzania gani au tuseme watanzania waliokunywa ni wao wenyewe?
unatuma ndege yetu mpaka madagascer bila kutuambia matokeo ya safari. sisi wavuja jasho wa KARIAKOO tunauliza hivi:

Je, dawa ile walikunywa kinanani maana huku Kariakoo haijafika?
Je, gharama za kurusha ndege mpaka Madagascar zinaendana na faida za dawa ile?
Kama dawa ilikuwa na matokeo chanya au hasi.
Kama dawa ilinywewa. walikunywa wakina nani na kwanini wasipewe watu wote?
Mwisho, msituambie tu COVID-19 imeisha, twambieni wamekufa wangapi mkijumuisha na wale mliokuwa mnawazika usiku kule makaburi ya Kondo njia ya Ununio.
Mkuu, walikunywa wao pekee tu kwa niaba yetu, na kwa imani wakiamini tumepona wote. Kwa Wakatoliki kitu kama hiki huitwa "fumbo la imani"
 
Amani iwe nanyi

Mtakumbuka raisi wenu mpendwa, mimi simo maana sipendi watawala, napenda viongozi tena wapenda haki na usawa yeye sio mmoja wapo.

Raisi wa Tanzania ameshawahi kuuhadaa umma wa Watanzania kwamba kuna dawa ya Corona imepatikana huko Madagascar na kwamba dawa ile inatibu COVID 19.

Akaenda mbali na kumtuma Waziri wake wa mambo ya nje akitumia ndege ya umma aliyoiagiza akiwa ndani na mtengeneza ndege bila hata kufuata sharia zetu za manunuzi.

Waziri akaenda na akarudi na michupa ya juice kama ya AZAM. Ni muda sasa tangu waziri na raisi wake wajitape kwamba wanawajali sana wa Tanzania na kwamba wamepeleka lindege wao kwenda kuchukua maji yale huko Madagascar.

Mbona hatujaambiwa dawa ile walikunywa Watanzania gani au tuseme watanzania waliokunywa ni wao wenyewe?
unatuma ndege yetu mpaka madagascer bila kutuambia matokeo ya safari. sisi wavuja jasho wa KARIAKOO tunauliza hivi:

Je, dawa ile walikunywa kinanani maana huku Kariakoo haijafika?
Je, gharama za kurusha ndege mpaka Madagascar zinaendana na faida za dawa ile?
Kama dawa ilikuwa na matokeo chanya au hasi.
Kama dawa ilinywewa. walikunywa wakina nani na kwanini wasipewe watu wote?
Mwisho, msituambie tu COVID-19 imeisha, twambieni wamekufa wangapi mkijumuisha na wale mliokuwa mnawazika usiku kule makaburi ya Kondo njia ya Ununio.
Halafu hela zenyewe za matanuzi haya ni za kuomba kwa hao wanaowaita mabeberu....🤣 🤣🤣!
 
Mtawala!
908765.jpg
 
Back
Top Bottom