Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Inafanyiwa utafiti
Vipi wewe umeshakunywa hiyo Alkasusu ya Madagascar?Kama ipo kaa ndani unatembea kuelekea wapi?
Alienda kuchukua ya familia yake
sasa dawa iko wapiHapana nakataa
Amani iwe nanyi
Mtakumbuka raisi wenu mpendw, mimi simo maana sipendi watawala, napenda viongozi tena wapenda haki na usawa yeye sio mmoja wapo.
Raisi wa Tanzania ameshawahi kuuhadaa umma wa Watanzania kwamba kuna dawa ya Corona imepatikana huko Madagascar na kwamba dawa ile inatibu COVID 19.
Mbona hatujaambiwa dawa ile walikunywa Watanzania gani au tuseme watanzania waliokunywa ni wao wenyewe?
unatuma ndege yetu mpaka madagascer bila kutuambia matokeo ya safari. sisi wavuja jasho wa KARIAKOO tunauliza hivi:
Mwisho, msituambie tu COVID-19 imeisha, twambieni wamekufa wangapi mkijumuisha na wale mliokuwa mnawazika usiku kule makaburi ya Kondo njia ya Ununio.
Sample size haiwezi kuosholeza kwa trend ile ya wagonjwa.Wgonjwa walipungua ghafla unles wawe walikuwa hawatoi takwimu sahihi.Clinical trials hizo zitafungwa tu.Inafanyiwa utafiti
Mkuu, walikunywa wao pekee tu kwa niaba yetu, na kwa imani wakiamini tumepona wote. Kwa Wakatoliki kitu kama hiki huitwa "fumbo la imani"Amani iwe nanyi
Mtakumbuka raisi wenu mpendw, mimi simo maana sipendi watawala, napenda viongozi tena wapenda haki na usawa yeye sio mmoja wapo.
Raisi wa Tanzania ameshawahi kuuhadaa umma wa Watanzania kwamba kuna dawa ya Corona imepatikana huko Madagascar na kwamba dawa ile inatibu COVID 19.
Akaenda mbali na kumtuma waziri wake wa mambo ya nje akitumia ndege ya umma aliyoiagiza akiwa ndani na mtengeneza ndege bila hata kufuata sharia zetu za manunuzi.
Waziri akaenda na akarudi na michupa ya juice kama ya AZAM. Ni muda sasa tangu waziri na raisi wake wajitape kwamba wanawajali sana wa Tanzania na kwamba wamepeleka lindege wao kwenda kuchukua maji yale huko Madagascar.
Mbona hatujaambiwa dawa ile walikunywa Watanzania gani au tuseme watanzania waliokunywa ni wao wenyewe?
unatuma ndege yetu mpaka madagascer bila kutuambia matokeo ya safari. sisi wavuja jasho wa KARIAKOO tunauliza hivi:
Je, dawa ile walikunywa kinanani maana huku Kariakoo haijafika?
Je, gharama za kurusha ndege mpaka Madagascar zinaendana na faida za dawa ile?
Kama dawa ilikuwa na matokeo chanya au hasi.
Kama dawa ilinywewa. walikunywa wakina nani na kwanini wasipewe watu wote?
Mwisho, msituambie tu COVID-19 imeisha, twambieni wamekufa wangapi mkijumuisha na wale mliokuwa mnawazika usiku kule makaburi ya Kondo njia ya Ununio.
DuhVipi wewe umeshakunywa hiyo Alkasusu ya Madagascar?
Watu wamechoma mafuta hadi madagascar kufata hiyo kituDuh
Alkasusu from Madagascar!
Nibora wangeenda pembaWatu wamechoma mafuta hadi madagascar kufata hiyo kitu
Chezea alkasusu ya madagascar wewe!Nibora wangeenda pemba
Mim napiga ya pemba,ngoja nipande bajaji Hadi madagascar niifuate hukohuko jikoni bongo nyosoChezea alkasusu ya madagascar wewe!
Halafu hela zenyewe za matanuzi haya ni za kuomba kwa hao wanaowaita mabeberu....🤣 🤣🤣!Amani iwe nanyi
Mtakumbuka raisi wenu mpendwa, mimi simo maana sipendi watawala, napenda viongozi tena wapenda haki na usawa yeye sio mmoja wapo.
Raisi wa Tanzania ameshawahi kuuhadaa umma wa Watanzania kwamba kuna dawa ya Corona imepatikana huko Madagascar na kwamba dawa ile inatibu COVID 19.
Akaenda mbali na kumtuma Waziri wake wa mambo ya nje akitumia ndege ya umma aliyoiagiza akiwa ndani na mtengeneza ndege bila hata kufuata sharia zetu za manunuzi.