Finder boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 608
- 150
wanajamvi naomba mnambie ni dawa gani ya meno/mswaki ambayo ni nzuri kutumia, yaani ambayo huondoa harufu na pia huua vijidudu vya meno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanajamvi naomba mnambie ni dawa gani ya meno/mswaki ambayo ni nzuri kutumia, yaani ambayo huondoa harufu na pia huua vijidudu vya meno.
forever bright is the best tooth gel ever, its wonderful check here Natural Health and Beauty to have some more information
Colget ni nzuri sana!
Kwa upande wangu dawa nzuri kwa meno ni 2.
1. Dawa za asili (mkaa na chumvi ya mawe) hizi ni dawa nzuri sana kwa kinywa. Ina shauriwa kuwa hata kama unatumia dawa za kiwandani utumie moja wapo ya hizo dawa angalau mara 2 kwa juma.
2. Dawa za kiwandani nzuri kwa upande wangu ambazo zimenisadia nising'oe jino japo nina matundu ya kutosha kiasi kwamba nilikuwa siwezi kunywa maji ya baridi ni Sensodine, na Forever toothpaste. Hizi dawa ni nzuri sana.
Kwa matumizi ya kawaida tu Colget ni nzuri sana ila kama una matatizo ya meno au fizi Sensodine ni nzuri
hiyo dawa ni noma toka nimeanza ku2mia fz kutoka dam bac.kama unahtaj ni pmforever bright is the best tooth gel ever, its wonderful check here Natural Health and Beauty to have some more information
Ushaanza kutangaza biashara zenu za forever mnanikela na mnanitia hasira nkikumbuka mtaji wa demu wangu ulipo ishia forever
Sent from my i Phone 5 using JamiiForu