Dawa nzuri ya meno/mswaki

Dawa nzuri ya meno/mswaki

Finder boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
608
Reaction score
150
wanajamvi naomba mnambie ni dawa gani ya meno/mswaki ambayo ni nzuri kutumia, yaani ambayo huondoa harufu na pia huua vijidudu vya meno.
 
Kwa upande wangu dawa nzuri kwa meno ni 2.

1. Dawa za asili (mkaa na chumvi ya mawe) hizi ni dawa nzuri sana kwa kinywa. Ina shauriwa kuwa hata kama unatumia dawa za kiwandani utumie moja wapo ya hizo dawa angalau mara 2 kwa juma.

2. Dawa za kiwandani nzuri kwa upande wangu ambazo zimenisadia nising'oe jino japo nina matundu ya kutosha kiasi kwamba nilikuwa siwezi kunywa maji ya baridi ni Sensodine, na Forever toothpaste. Hizi dawa ni nzuri sana.
 
Kwa matumizi ya kawaida tu Colget ni nzuri sana ila kama una matatizo ya meno au fizi Sensodine ni nzuri
 
Kwa upande wangu dawa nzuri kwa meno ni 2.

1. Dawa za asili (mkaa na chumvi ya mawe) hizi ni dawa nzuri sana kwa kinywa. Ina shauriwa kuwa hata kama unatumia dawa za kiwandani utumie moja wapo ya hizo dawa angalau mara 2 kwa juma.

2. Dawa za kiwandani nzuri kwa upande wangu ambazo zimenisadia nising'oe jino japo nina matundu ya kutosha kiasi kwamba nilikuwa siwezi kunywa maji ya baridi ni Sensodine, na Forever toothpaste. Hizi dawa ni nzuri sana.

shukrani
 
Ushaanza kutangaza biashara zenu za forever mnanikela na mnanitia hasira nkikumbuka mtaji wa demu wangu ulipo ishia forever

Sent from my i Phone 5 using JamiiForu
 
Dawa yoyote yenye sodium fluoride ni nzuri. Cha muhimu kuzingatia ni jinsi unavyopiga mswaki(daktari wangu wa meno aliniambia hivyo). Pia kama unaweza tumia flosser (kauzi kembamba unakapitisha katikati ya meno kuondoa mabaki ya chakula). Pia piga mswaki agalau mara mbili kwa siku, asubuhi na jioni.
 
Ushaanza kutangaza biashara zenu za forever mnanikela na mnanitia hasira nkikumbuka mtaji wa demu wangu ulipo ishia forever

Sent from my i Phone 5 using JamiiForu

hahahaha! hahaha! hahaha! kwani ni ghali sana?
 
Dawa yoyote yenye Sodium floride kuanzia 1450 na kuendelea ni the best

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
ok, from this moment chaguo langu ni forever bright na sensodine
 
Forever bright ndio yenyewe....japo ka-bei kapo juu kiduchu!
 
Back
Top Bottom