MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Hao waliookuwa wajasilimali wamekwambia kwamba mifuko yao ilikuwa inaruhusu kufanya hivyo ?Kila MTU anaweza kua mjasiliamali, wengi wanapenda kua wajasiliamali ila mifuko hairuhusu kufanya ivo..
Wajasiliamali wengi wa Tanzania ambao wametoka walianza bila mifuko kuruhusu,
Usiwe unawaza fedha, wewe jitume utaona matokeo
Halafu angalia ile mail basi