MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Hao waliookuwa wajasilimali wamekwambia kwamba mifuko yao ilikuwa inaruhusu kufanya hivyo ?Kila MTU anaweza kua mjasiliamali, wengi wanapenda kua wajasiliamali ila mifuko hairuhusu kufanya ivo..
Kwa halo ya sasa lazima pesa uitumie.. So unaona Mzee baba kakaza tax kila kona so mambo yanabadilika kutokana Na muda + mfumo.Hao waliookuwa wajasilimali wamekwambia kwamba mifuko yao ilikuwa inaruhusu kufanya hivyo ?
Wajasiliamali wengi wa Tanzania ambao wametoka walianza bila mifuko kuruhusu,
Usiwe unawaza fedha, wewe jitume utaona matokeo
Halafu angalia ile mail basi
Ingekuwa siyo kipaumbele basi mpaka sasa ungekuwa ushafanya kitu kwa ujuzi uliokuwa naoKwa halo ya sasa lazima pesa uitumie.. So unaona Mzee baba kakaza tax kila kona so mambo yanabadilika kutokana Na muda + mfumo.
Kuhusu pesa umenionea, Money it's not my first priority..
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]@Malcom lumumba sasa nimeamini kile ulichosema
May be they see something Hidden within you!They trolling me..!
What's that?May be they see something Hidden within you!
😅😅 better ask them!What's that?
Mimi nimeamini kuwa huyo ni DadaHahahahahahaha
Mwacheni Dada Vinci wanguuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahaaaaaaUnakula pemba au siyo ?
Teh teh teh
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu mimi nilichoona mimi ni Gazeti ,sijui lilikuwa la Siasa au Michezo.....Naona hii Sayansi ni ya AJABU ....SIJAONA MAELEZO YOYOTE YA WADAU HAPA!Gazeti la michezo au siasa?
Sawa mkuu wangu ila inastaajabisha sanaMkuu mimi nilichoona mimi ni Gazeti ,sijui lilikuwa la Siasa au Michezo.....Naona hii Sayansi ni ya AJABU ....SIJAONA MAELEZO YOYOTE YA WADAU HAPA!
Ujue nimefurahi sana. Sikujua kama unanijali hivi jamani.twinnie cute b njoo jionee maajabu ya dunia hapa.!!