Dawa ya ajabu ya kuzuia kutapika niliyokutana nayo kwenye basi

Ujue nimefurahi sana. Sikujua kama unanijali hivi jamani.
Yaani sikujua kama umeshaanza hatua za kunitafutia tiba. Twin Mungu akuweke. Nimepitia comments zote na Mgonjwa achagui dawa... Si unajua? ❀❀❀
😍😍😍
Heey twinnie, this is nothing bwaana! Umenipea huge compliments wakati hata tiba hatujapata! tukipata dawa permanent tunakuja fanya sherehe halafu inakuwa mwendo wa kutravel all over the world.!!
 
Alitafuna au alipikicha ndo akakalia cjaelewa kidogo
 
Hili jambo nimeshalisikia pia kwenye redio one mtangazaji akilizungumzia
 
huu ugonjwa umenikumbusha kuna mdau alikuwa nao yani hata km mnatoka nae safari ndogo izi mnakata mitaa nayeye utashangaa amerudisha chenchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…