Anapata reaction gani baada ya kula ngano? Breakfast asilia za mwafrika ni mihogo, coaxing vitamin, ndizi n.k vya kuchemsha.
Pole sana mkuu.
Muone daktari kwa tiba na ushauri juu ya hilo tatizo
Heri wenzangu.
Nina mtoto mwenye aleji na ngano.Mkate,mandazi,tambi,biskuti hagusi,akila tu,muili unamuasha,anajikuna hadi huruma,na tatizo akina wenzake wanakula na yeye anatamani,ndo hivo tunahakikisha wenzake wakitaka kula,ni huko huko ili wasimtamanishe.
Kwa anayejua tiba naomba msaada.
ku "discourage /manage" hizo shida anazozipata mgonjwa endapo si kubwa mpaka kuhitaji "hospitalization" unatumia "antihistamine tablets" kama Celestamine,Loratadine,(Promethazine)Phenegan ,Chlorpheniramine (Pirton) .etc.Hii huwa ni Kwa sababu ya "gluten protein" iliyo katika nafaka za ngano,kama shida ni ngano products,aache kutumia ndo dawa kubwa na ya msingi na bahati njema we mwenyewe umethibitisha anapata shida kutokana na vyakula vya ngano.
STOP USING IT.
Mkuu umemaliza kila kituku "discourage /manage" hizo shida anazozipata mgonjwa endapo si kubwa mpaka kuhitaji "hospitalization" unatumia "antihistamine tablets" kama Celestamine,Loratadine,(Promethazine)Phenegan ,Chlorpheniramine (Pirton) .etc.
vipi kuhusu side effects za hizi tablets?ku "discourage /manage" hizo shida anazozipata mgonjwa endapo si kubwa mpaka kuhitaji "hospitalization" unatumia "antihistamine tablets" kama Celestamine,Loratadine,(Promethazine)Phenegan ,Chlorpheniramine (Pirton) .etc.
kifupi mkuu ambacho unatakiwa kujua ni kwamba dawa yeyote yenye uwezo wa kutibu huwa pia na matokeo mwambata ambayo si sehemu ya matibabu (side effect) inapotumiwa katika dose sahihi ,na matokeo mwambata haya huwa ni yale yanayofahamika "common side effect" ,mfano kwa hizo dawa nilizozitaja "antihistamine , major side effect ni mild drowsness" yaani unapata kiusingizi fulani,shida zingine ni kama kukauka midomo,maumivu ya kichwa ,kichefu chefu na hata kutapika (ingawa ni 'side effect' ya karibu 90% kwa dawa zinazotumiwa kwa njia ya kumeza kinywani-kichefuchefu na kutapika.)vipi kuhusu side effects za hizi tablets?
anhaa kumbe ..poa mkuukifupi mkuu ambacho unatakiwa kujua ni kwamba dawa yeyote yenye uwezo wa kutibu huwa pia na matokeo mwambata ambayo si sehemu ya matibabu (side effect) inapotumiwa katika dose sahihi ,na matokeo mwambata haya huwa ni yale yanayofahamika "common side effect" ,mfano kwa hizo dawa nilizozitaja "antihistamine , major side effect ni mild drowsness" yaani unapata kiusingizi fulani,shida zingine ni kama kukauka midomo,maumivu ya kichwa ,kichefu chefu na hata kutapika (ingawa ni 'side effect' ya karibu 90% kwa dawa zinazotumiwa kwa njia ya kumeza kinywani-kichefuchefu na kutapika.)
Hizi dawa zinapatikana famasi kweli mbona majina magumu?ku "discourage /manage" hizo shida anazozipata mgonjwa endapo si kubwa mpaka kuhitaji "hospitalization" unatumia "antihistamine tablets" kama Celestamine,Loratadine,(Promethazine)Phenegan ,Chlorpheniramine (Pirton) .etc.
Kwani kaka unajua dawa yoyote ya Asili?Hizi dawa zinapatikana famasi kweli mbona majina magumu?
ku "discourage /manage" hizo shida anazozipata mgonjwa endapo si kubwa mpaka kuhitaji "hospitalization" unatumia "antihistamine tablets" kama Celestamine,Loratadine,(Promethazine)Phenegan ,Chlorpheniramine (Pirton) .etc.
Hizo dawa zinatibu any allergy au hiyo ya ngano tu?Mkuu umemaliza kila kitu