Heri wenzangu.
Nina mtoto mwenye aleji na ngano.Mkate,mandazi,tambi,biskuti hagusi,akila tu,muili unamuasha,anajikuna hadi huruma,na tatizo akina wenzake wanakula na yeye anatamani,ndo hivo tunahakikisha wenzake wakitaka kula,ni huko huko ili wasimtamanishe.
Kwa anayejua tiba naomba msaada.