Habari wanaJF,
Nimekua nasumbuliwa na allergy kwa miaka sasa....tafadhali mwenye kujua tiba ya kudumu.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
unalijua tatizo lako!!na unaamini na mm ninalijua!!!!Habari wanaJF,
Nimekua nasumbuliwa na allergy kwa miaka sasa....tafadhali mwenye kujua tiba ya kudumu.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Habari wanaJF,
Nimekua nasumbuliwa na allergy kwa miaka sasa....tafadhali mwenye kujua tiba ya kudumu.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Nna Allergy ya Vumbi....Nilipima na Kutambua Hivyo. Na Kwa Mazingira ya Kawaida ni vigumu kuepuka vumbi....hivyo huwa natumia dawa inaitwa 'Cetirizine' kwa kutuliza 'mwasho'.
Je, Hii dawa ina madhara yeyote....au kuna dawa mbadala?
#Shukran-za-Utangulizi
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Aleji ni ishara ya mwili kupungukiwa maji. Ni matokeo ya kuzarishwa kwa wingi mwilini kemikali iitwayo Histamini ambayo kazi zake ni: 1. Kuhimiza unywaji maji 2. Kusimamia mgawo wa maji mwilini 3. Kudhibiti maadui wa nje wakiwemo virusi na bakteria.
Soma makala yote kuhusu aleji HAPA.
Mimi nilikuwa na tatizo la kuwashwa mwili,na kutokwa na vipele kama vya jasho vinawasha kweli wakati wa ucku,nika2mia dawa nyingi sana bila mafanikio nikaenda pale magomeni kwa dr.ole wakanipima kwa vile vijisindano vingi wakaniambia eti nina allergy ya vumbi la ndani,na vyakula vya makopo!nikajaribu kufuata mashariti wapi,nikaenda tmk hospital nikapewa vidonge fulani nika2mia hadi leo ni mwaka wa pili cjaviona tena!na vumbi bongo utalikwepaje?
kwa hiyo Dr Fadhili Paulo maji yana uwezo wa kutibu kila kitu?Aleji ni ishara ya mwili kupungukiwa maji. Ni matokeo ya kuzarishwa kwa wingi mwilini kemikali iitwayo Histamini ambayo kazi zake ni: 1. Kuhimiza unywaji maji 2. Kusimamia mgawo wa maji mwilini 3. Kudhibiti maadui wa nje wakiwemo virusi na bakteria.
Soma makala yote kuhusu aleji HAPA.
Habari wanaJF,
Nimekua nasumbuliwa na allergy kwa miaka sasa....tafadhali mwenye kujua tiba ya kudumu.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
kwa hiyo Dr Fadhili Paulo maji yana uwezo wa kutibu kila kitu?
Mimi nilikuwa na tatizo la kuwashwa mwili,na kutokwa na vipele kama vya jasho vinawasha kweli wakati wa ucku,nika2mia dawa nyingi sana bila mafanikio nikaenda pale magomeni kwa dr.ole wakanipima kwa vile vijisindano vingi wakaniambia eti nina allergy ya vumbi la ndani,na vyakula vya makopo!nikajaribu kufuata mashariti wapi,nikaenda tmk hospital nikapewa vidonge fulani nika2mia hadi leo ni mwaka wa pili cjaviona tena!na vumbi bongo utalikwepaje?
Mkuu vipi tatizo lako liliisha??kama vipu ni pm, kwani leo ndio nimeuona huu uziMkuu ebu nitajie hivyo vidonge.
Mi kila vidonge nilivyowahi kunywa vinanisaidia kwa muda tu. Hapo Ekenywa kwa dr. Ole nilitupa hela zangu nyingi sana japo walinisaidia kukausha vipele. Government ndo usiseme kabisa.....niliambulia kuandikiwa piriton na Sonaderm cream ambayo sitaki hata kuisikia maana inakoboa ngozi balaa!
mkuu vipi tatizo lako liliisha??kama vipu ni pm, kwani leo ndio nimeuona huu uzi
Tatizo langu halijaisha mkuu hapa ninapotype nina vipele vimetokea yaani vinaniwasha hatari.
Aisee hata mimi mtoto wangu anamatatizo sawa na yako..nimehangaika nae sana..naomba akikupa maelekezo ni PM na mimi..dogo anateseka sana please mkuu..!!