Dawa ya Allergy

Dawa ya Allergy

awadh

Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
46
Reaction score
60
Habari wanaJF,

Nimekua nasumbuliwa na allergy kwa miaka sasa....tafadhali mwenye kujua tiba ya kudumu.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Jaribu kudadavua kidogo,allergy ya ki2/vitu gani?
 
Habari wanaJF,

Nimekua nasumbuliwa na allergy kwa miaka sasa....tafadhali mwenye kujua tiba ya kudumu.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
unalijua tatizo lako!!na unaamini na mm ninalijua!!!!
 
Nna Allergy ya Vumbi....Nilipima na Kutambua Hivyo. Na Kwa Mazingira ya Kawaida ni vigumu kuepuka vumbi....hivyo huwa natumia dawa inaitwa 'Cetirizine' kwa kutuliza 'mwasho'.
Je, Hii dawa ina madhara yeyote....au kuna dawa mbadala?
#Shukran-za-Utangulizi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Allegy ya vumbi kwa tanzania yetu utapata shida sana maana ni vumbi kila sehem
 
Aleji ni ishara ya mwili kupungukiwa maji. Ni matokeo ya kuzarishwa kwa wingi mwilini kemikali iitwayo Histamini ambayo kazi zake ni: 1. Kuhimiza unywaji maji 2. Kusimamia mgawo wa maji mwilini 3. Kudhibiti maadui wa nje wakiwemo virusi na bakteria.

Soma makala yote kuhusu aleji HAPA.

Habari wanaJF,

Nimekua nasumbuliwa na allergy kwa miaka sasa....tafadhali mwenye kujua tiba ya kudumu.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nna Allergy ya Vumbi....Nilipima na Kutambua Hivyo. Na Kwa Mazingira ya Kawaida ni vigumu kuepuka vumbi....hivyo huwa natumia dawa inaitwa 'Cetirizine' kwa kutuliza 'mwasho'.
Je, Hii dawa ina madhara yeyote....au kuna dawa mbadala?
#Shukran-za-Utangulizi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Mimi nilikuwa na tatizo la kuwashwa mwili,na kutokwa na vipele kama vya jasho vinawasha kweli wakati wa ucku,nika2mia dawa nyingi sana bila mafanikio nikaenda pale magomeni kwa dr.ole wakanipima kwa vile vijisindano vingi wakaniambia eti nina allergy ya vumbi la ndani,na vyakula vya makopo!nikajaribu kufuata mashariti wapi,nikaenda tmk hospital nikapewa vidonge fulani nika2mia hadi leo ni mwaka wa pili cjaviona tena!na vumbi bongo utalikwepaje?
 
Asante Fadhili, kweli maji ni uhai.
Aleji ni ishara ya mwili kupungukiwa maji. Ni matokeo ya kuzarishwa kwa wingi mwilini kemikali iitwayo Histamini ambayo kazi zake ni: 1. Kuhimiza unywaji maji 2. Kusimamia mgawo wa maji mwilini 3. Kudhibiti maadui wa nje wakiwemo virusi na bakteria.

Soma makala yote kuhusu aleji HAPA.
 
Mimi nilikuwa na tatizo la kuwashwa mwili,na kutokwa na vipele kama vya jasho vinawasha kweli wakati wa ucku,nika2mia dawa nyingi sana bila mafanikio nikaenda pale magomeni kwa dr.ole wakanipima kwa vile vijisindano vingi wakaniambia eti nina allergy ya vumbi la ndani,na vyakula vya makopo!nikajaribu kufuata mashariti wapi,nikaenda tmk hospital nikapewa vidonge fulani nika2mia hadi leo ni mwaka wa pili cjaviona tena!na vumbi bongo utalikwepaje?

Sasa kaka, we si umepona?! Hivyo vidonge vinaitwaje na ntavipataje.....case yako ipo exactly kama yangu!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Habarini...

Nina allergy na baadhi ya vyakula na vumbi, ninapata sana tabu nmetumia dawa nyingi za hospistalini na nyingine ni natural bila mafanikio.

Tafadhali kwa anejua dawa zinazoondoa kabisa allergy naomba anisaidie.
 
Aleji ni ishara ya mwili kupungukiwa maji. Ni matokeo ya kuzarishwa kwa wingi mwilini kemikali iitwayo Histamini ambayo kazi zake ni: 1. Kuhimiza unywaji maji 2. Kusimamia mgawo wa maji mwilini 3. Kudhibiti maadui wa nje wakiwemo virusi na bakteria.

Soma makala yote kuhusu aleji HAPA.
kwa hiyo Dr Fadhili Paulo maji yana uwezo wa kutibu kila kitu?
 
Last edited by a moderator:
Habari wanaJF,

Nimekua nasumbuliwa na allergy kwa miaka sasa....tafadhali mwenye kujua tiba ya kudumu.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Mi cetrizine huwa zinanisaidia sana kwa allergy ya vumbi.lkn ndo hivyo tena tiba ya muda tu ila inasaidia sana
 
Mimi nilikuwa na tatizo la kuwashwa mwili,na kutokwa na vipele kama vya jasho vinawasha kweli wakati wa ucku,nika2mia dawa nyingi sana bila mafanikio nikaenda pale magomeni kwa dr.ole wakanipima kwa vile vijisindano vingi wakaniambia eti nina allergy ya vumbi la ndani,na vyakula vya makopo!nikajaribu kufuata mashariti wapi,nikaenda tmk hospital nikapewa vidonge fulani nika2mia hadi leo ni mwaka wa pili cjaviona tena!na vumbi bongo utalikwepaje?

Mkuu ebu nitajie hivyo vidonge.
Mi kila vidonge nilivyowahi kunywa vinanisaidia kwa muda tu. Hapo Ekenywa kwa dr. Ole nilitupa hela zangu nyingi sana japo walinisaidia kukausha vipele. Government ndo usiseme kabisa.....niliambulia kuandikiwa piriton na Sonaderm cream ambayo sitaki hata kuisikia maana inakoboa ngozi balaa!
 
Mkuu vipi tatizo lako liliisha??kama vipu ni pm, kwani leo ndio nimeuona huu uzi
 
Tatizo langu halijaisha mkuu hapa ninapotype nina vipele vimetokea yaani vinaniwasha hatari.

Aisee hata mimi mtoto wangu anamatatizo sawa na yako..nimehangaika nae sana..naomba akikupa maelekezo ni PM na mimi..dogo anateseka sana please mkuu..!!
 
Sawa mkuu.
Mi vyakula vyote nilivyoambiwa niache niliacha lakini wapi!!! And its five years tangu niugue mpaka nilishachoka khaaaa!

Mkuu keshaniPM ngoja nikuforwadie tulifanyie kazi.
 
Back
Top Bottom