Dawa ya ashki kwa wanawake inahitajika(libido boost medicine)

Ni dawa ya Kizungu ila imetengezwa kiasilia( 100% Natural). Sijasomea udaktari ila nini knowledge kuhusu treatment kuhusu dawa hizi! Karibu!

Ahsante mkuu inaitwaje?na unauzaje?msaada wako tafadhali
 
Usisahau panadol kila unapojisikia hovyo. Ni hayo tu
 
Kwa bibi Tanga kuna dawa....

Jitahidi uje umuone...
 
Lo makubwa. Mi naona dawa unayo. Ni kuweka fikra yako sawa na kujituma tu.
 
Umesema haujawai kuwa na ashki tangia uzaliwe sasa umejuaje kama hauna? You can't loose somethin that you don't have,at what age you realized that you don't have libido? What makes you think that you don't have libido?
 
Ni dawa ya Kizungu ila imetengezwa kiasilia( 100% Natural). Sijasomea udaktari ila nini knowledge kuhusu treatment kuhusu dawa hizi! Karibu!

Mbona kimya mkuu?dawa inaitwaje na unauzaje?
Ahsante
 
Hahahaha JF is never BOARING......ntakuletea uyo sisimizi alofiwa na mjomba ake.....thanks for making my day
 
Last edited by a moderator:

Tafuta forever arg+ na forever multi maca. Ni kiboko. Ni natural products without artificial ingredients. Bei I guess ni 130000 + 45000. Moja ni ya kunywa kama juice na nyingine ni tablets
 
Tafuta forever arg+ na forever multi maca. Ni kiboko. Ni natural products without artificial ingredients. Bei I guess ni 130000 + 45000. Moja ni ya kunywa kama juice na nyingine ni tablets
Ahsante mkuu we ni agent wa forever living ama?na kama ndio je unazo? zishasaidia wahanga kama mm?
 
Umepima hormone balance? Kama umepima zipo sawa na huna shida ingine ya kimwili, fanya utaratibu wa kutembelea nyumba za ibada kwa maombi. Spiritual husband huwa wanaweza kumfunga mtu asifurahie penzi na mwanaume mwingine.
 
Mie ni agent ndio na ninazo. Na zimeshasaidia watu sana unaweza pia kuzigoogle ukajisomea mwenyewe

Ahsante mkuu nazihitaji waeza nipatia namba yako?maana kama ni.agent sioni kama itakua shida ukiweka namba yako hapa nkakutafuta
 
Umepima hormone balance? Kama umepima zipo sawa na huna shida ingine ya kimwili, fanya utaratibu wa kutembelea nyumba za ibada kwa maombi. Spiritual husband huwa wanaweza kumfunga mtu asifurahie penzi na mwanaume mwingine.

Ahsante kwa kujali mkuu ntafanyia kazi mawazo yako
 
Tumia feminine herbal complex
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…