Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh.............
Hello wakuu
Kabla sijajiunga na JF
Nimekua nikipitia nyuzi mbali mbali hapa jamii forum kwa kila jukwaa na pia niliona nyuzi mbali mbali kuhusiana na kukosa hamu ya tendo kwa Wanawake pamoja na kusoma comments za wadau mbalimbali
Lakin stil sijaona suluhu yaani dawa ya kuleta ashki iliyopimwa mamlaka ya afya na kuthibitishwa katika matumiz.....nkaona ni vyema nikajisajili JF na kutoa hii post huenda nkapata msaada juu ya hili tatizo langu hii ndio post yangu ya kwanza mm humu JF sio mgeni mara nying napita juu tú na kusoma yaliyomo nkaona ni vyema nkawa member kabisa
Jaman nahitaji dawa ya ashki kwa yoyote mwenye nayo anisaidie tafadhali.ama anielekeze zinapopatikana tafadhali
Najitahidi sana kumuomba Mwenyez Mungu juu ya hili tatizo ila bado sijapata dawa wala ufumbuz ila najua Mungu ndio kila kitu.na ntapona ivyo kwangu Mwenyez Mungu ndio kila kitu
Njia nyingine
Nishaenda kwa psychologists but it doesn't.work.....nishaenda hospital but they told me I don't have any problem......nishachekiwa vipimo vya kila namna Sina jini mahaba wala nn na Sina stress zozote zile sababu naishi maisha mazuri sana ambayo kila mmoja angetamani ayapate
Lengo haswa la uzi huu nahitaji dawa tu nasio ushauri tafadhali naomba mnielewe.....nahitaji dawa ya ashki tú iwe ya mitishamba ama yoyote ile kikubwa iwe imethibitishwa kimatumizi
Kwa yoyote mwenye dawa ya ashki kwa Wanawake anipatie tafadhali ....sitaki jokes kua serious na kama huna mchango potezea tú
Nb nimeolewa na ndoa yangu bado ni changa!!!!!!!
Mwenye iyo dawa tujuzane.....Ahsanteni!!!!!!!!
Nitafutie Mbuzi mwenye rangi ya Zambarau, Mchele kilo mia mbili, Maharagwe debe nne,Sisimizi aliyefiwa na Mjomba wake MziziMkavu ya jiwe jeusi,Dhahabu karai mbili,kofia mbili za Polisi,pembe tatu za Ndovu na Faru moja,Nyusi za Simba mwenye miaka mnne dume, Vichwa viwili vya wachina waliokuwemo kwenye ndege ya Malaysia iliyopotea lete hivyo vitu nikutengenezee dawa... fanya fasta...si unataka uwe na haski? ukishindwa kuna watu wapo kufanya hiyo kazi watumie m-pesa
Kingine mme wangu ananiandaa vizur sana na ananifanyia mautundu ya kila namna but stil sipati ashki nampenda sana mume wangu na mawazo yangu yote hua yako pale tunapokua faragha but tatizo sipat hamu..nisaidieni wadau nampenda sana MUME WANGU NA NAITHAMINI SANA NDOA YANGU
Muelewe kua tangu nikue Sijawahi kupata ashki ata siku moja.....Sijawahi gombana na mtu sina shari na mtu yoyote yule msije mkaanza longolongo hapa nahitaji dawa tú kwa alienayo anijuze tafadhali
Ahsante mkuu we ni agent wa forever living ama?na kama ndio je unazo? zishasaidia wahanga kama mm?Tafuta forever arg+ na forever multi maca. Ni kiboko. Ni natural products without artificial ingredients. Bei I guess ni 130000 + 45000. Moja ni ya kunywa kama juice na nyingine ni tablets
Ahsante mkuu we ni agent wa forever living ama?na kama ndio je unazo? zishasaidia wahanga kama mm?
Umepima hormone balance? Kama umepima zipo sawa na huna shida ingine ya kimwili, fanya utaratibu wa kutembelea nyumba za ibada kwa maombi. Spiritual husband huwa wanaweza kumfunga mtu asifurahie penzi na mwanaume mwingine.
Hello wakuu
Kabla sijajiunga na JF
Nimekua nikipitia nyuzi mbali mbali hapa jamii forum kwa kila jukwaa na pia niliona nyuzi mbali mbali kuhusiana na kukosa hamu ya tendo kwa Wanawake pamoja na kusoma comments za wadau mbalimbali
Lakin stil sijaona suluhu yaani dawa ya kuleta ashki iliyopimwa mamlaka ya afya na kuthibitishwa katika matumiz.....nkaona ni vyema nikajisajili JF na kutoa hii post huenda nkapata msaada juu ya hili tatizo langu hii ndio post yangu ya kwanza mm humu JF sio mgeni mara nying napita juu tú na kusoma yaliyomo nkaona ni vyema nkawa member kabisa
Jaman nahitaji dawa ya ashki kwa yoyote mwenye nayo anisaidie tafadhali.ama anielekeze zinapopatikana tafadhali
Najitahidi sana kumuomba Mwenyez Mungu juu ya hili tatizo ila bado sijapata dawa wala ufumbuz ila najua Mungu ndio kila kitu.na ntapona ivyo kwangu Mwenyez Mungu ndio kila kitu
Njia nyingine
Nishaenda kwa psychologists but it doesn't.work.....nishaenda hospital but they told me I don't have any problem......nishachekiwa vipimo vya kila namna Sina jini mahaba wala nn na Sina stress zozote zile sababu naishi maisha mazuri sana ambayo kila mmoja angetamani ayapate
Lengo haswa la uzi huu nahitaji dawa tu nasio ushauri tafadhali naomba mnielewe.....nahitaji dawa ya ashki tú iwe ya mitishamba ama yoyote ile kikubwa iwe imethibitishwa kimatumizi
Kwa yoyote mwenye dawa ya ashki kwa Wanawake anipatie tafadhali ....sitaki jokes kua serious na kama huna mchango potezea tú
Nb nimeolewa na ndoa yangu bado ni changa!!!!!!!
Mwenye iyo dawa tujuzane.....Ahsanteni!!!!!!!!
Ahsante mkuu nazihitaji waeza nipatia namba yako?maana kama ni.agent sioni kama itakua shida ukiweka namba yako hapa nkakutafuta