Dawa ya ashki kwa wanawake inahitajika(libido boost medicine)

Mko kimya ndugu zangu
Mwenye hiyo dawa ama anaejua zinapopatikana anijuze tafadhali
Nahitaji dawa ya ashki tu!!!!!!!

Naamini niko kwenye jukwaa husika na ntapata suluhu kwa uwezo wa Mungu

May be you have hormonal imbalance so you need to check is hormones are balanced and two if you believe in the living God pray siting his words so as you can play part in your marriage
 
Ahsante sana kwa kujali mkuu ntakutafuta!!!!!!!
 
May be you have hormonal imbalance so you need to check is hormones are balanced and two if you believe in the living God pray siting his words so as you can play part in your marriage

Thanks in advance!!!!!!!!!!!!
 
Mama hujapata tu..naomba ukifanikiwa uje utuelez dawa IPI ilikusaidia ila wengine wafaidike...katika chakula mdalasani na asali inasaidia pia juice ya water melon no nzuri zaidi, jaribu hilo na kwa wanaume juice ya tende name maziwa inasaidiaa sana..pole na mungu atakusadia usichoke kumuomba
 
Ahsante sana mkuu ntaleta feedback usijali
 
Kwani unajihisi kupungukiwa nini usipopata ashiki,
nimeuliza hivyo nikizingatia kuwa hujui ashiki huwaje kwa vitendo.

kuna vitu ukiwa huvijui ni bora kuendelea kutovijua.
 
Kwani unajihisi kupungukiwa nini usipopata ashiki,
nimeuliza hivyo nikizingatia kuwa hujui ashiki huwaje kwa vitendo.

kuna vitu ukiwa huvijui ni bora kuendelea kutovijua.

ivi unahitaji kweli kufundishwa jinsi nyege ilivyo?!unadhani wanaotoa michango hawajui tatizo la Shadya
 
Shadya9 ukishaitumia ile dawa uje utoe mrejesho best......MUNGU AKUPONYE!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwani unajihisi kupungukiwa nini usipopata ashiki,
nimeuliza hivyo nikizingatia kuwa hujui ashiki huwaje kwa vitendo.

kuna vitu ukiwa huvijui ni bora kuendelea kutovijua.
nimekuskia!!!!!!!!!!
 
Dawa yake ndogo sana mwambie huyo kaka akuramberambe kinyeleo taratibu huku anakushika kisimi ashki itakuja tu
 
We ungekuwa kanda.ya sues ningekushauri kitu sikufichi ungembaka hata houseboy wakokwa mizuka.ni pm tafadhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…