Pole Dada. Hayo matatizo wanayo wengi sana ila tatizo kuwa wengi hawajitokezi na kueileza wazi kama ulivyo fanya wewe. Hili tatizo hutokea kwa wanaume na wanawake pia. Kwa wanaume huwa mbaya zaidi kwani hata ndoa huweza kuyumba kwani mwanandoa mmoja huweza kumfikiri mwingine vibaya kwamba anamalizi kwingine nk. Kwa wanawake huwa wanavulia na kumwacha mwanaume kama yupo safi afurahie tendo hilo peke yake. Ukweli tendo la ndoa kwa waliooana limewekwa ili wote mlifurahie na hivyo kuleta upendo na mshikamano na ndoa yeniu itadumu. Tatizo hili laweza kusababishwa na mengi mojawapo kama walivyo eleza hapo juu. kwa vile umesema ulisha kwenda hospitali na wanakwambia huna tatizo labda nikwambie inawezeka huna tatizo la strees au kisakolojia ila tatizo laweza tokana na lishe, kwa maana kuna virutubisho au madini mwilini yanavyosaidi mwili kuleta hamu ya mapenzi/mahaba (libido)huwa vimekosekana na kusababisha tatizo hili. Mimi ni member wa forever living tuna bidhaa zinazoongeza hamu ya mapenzi kwa mwanamke na mwanaume pia.Mimi mwenyewe nazitumia pia na najua matokeo yake. Mfano wa bidhaa hizi ni kama Martmarca na Alg + . hizi hutumika kwa wote wanaume na wanawake. Ukitaka maelezo zaidi ntafute ntakupa maelezo zaidi mobile no +255 756 514 644/715 514 644 or email:
apronius2000@yahoo.co.uk.