Dawa ya ashki kwa wanawake inahitajika(libido boost medicine)

Dawa ya ashki kwa wanawake inahitajika(libido boost medicine)

Mko kimya ndugu zangu
Mwenye hiyo dawa ama anaejua zinapopatikana anijuze tafadhali
Nahitaji dawa ya ashki tu!!!!!!!

Naamini niko kwenye jukwaa husika na ntapata suluhu kwa uwezo wa Mungu

May be you have hormonal imbalance so you need to check is hormones are balanced and two if you believe in the living God pray siting his words so as you can play part in your marriage
 
Pole Dada. Hayo matatizo wanayo wengi sana ila tatizo kuwa wengi hawajitokezi na kueileza wazi kama ulivyo fanya wewe. Hili tatizo hutokea kwa wanaume na wanawake pia. Kwa wanaume huwa mbaya zaidi kwani hata ndoa huweza kuyumba kwani mwanandoa mmoja huweza kumfikiri mwingine vibaya kwamba anamalizi kwingine nk. Kwa wanawake huwa wanavulia na kumwacha mwanaume kama yupo safi afurahie tendo hilo peke yake. Ukweli tendo la ndoa kwa waliooana limewekwa ili wote mlifurahie na hivyo kuleta upendo na mshikamano na ndoa yeniu itadumu. Tatizo hili laweza kusababishwa na mengi mojawapo kama walivyo eleza hapo juu. kwa vile umesema ulisha kwenda hospitali na wanakwambia huna tatizo labda nikwambie inawezeka huna tatizo la strees au kisakolojia ila tatizo laweza tokana na lishe, kwa maana kuna virutubisho au madini mwilini yanavyosaidi mwili kuleta hamu ya mapenzi/mahaba (libido)huwa vimekosekana na kusababisha tatizo hili. Mimi ni member wa forever living tuna bidhaa zinazoongeza hamu ya mapenzi kwa mwanamke na mwanaume pia.Mimi mwenyewe nazitumia pia na najua matokeo yake. Mfano wa bidhaa hizi ni kama Martmarca na Alg + . hizi hutumika kwa wote wanaume na wanawake. Ukitaka maelezo zaidi ntafute ntakupa maelezo zaidi mobile no +255 756 514 644/715 514 644 or email: apronius2000@yahoo.co.uk.
Ahsante sana kwa kujali mkuu ntakutafuta!!!!!!!
 
May be you have hormonal imbalance so you need to check is hormones are balanced and two if you believe in the living God pray siting his words so as you can play part in your marriage

Thanks in advance!!!!!!!!!!!!
 
Mama hujapata tu..naomba ukifanikiwa uje utuelez dawa IPI ilikusaidia ila wengine wafaidike...katika chakula mdalasani na asali inasaidia pia juice ya water melon no nzuri zaidi, jaribu hilo na kwa wanaume juice ya tende name maziwa inasaidiaa sana..pole na mungu atakusadia usichoke kumuomba
 
Ahsante sana mkuu ntaleta feedback usijali
 
Kwani unajihisi kupungukiwa nini usipopata ashiki,
nimeuliza hivyo nikizingatia kuwa hujui ashiki huwaje kwa vitendo.

kuna vitu ukiwa huvijui ni bora kuendelea kutovijua.
 
Kwani unajihisi kupungukiwa nini usipopata ashiki,
nimeuliza hivyo nikizingatia kuwa hujui ashiki huwaje kwa vitendo.

kuna vitu ukiwa huvijui ni bora kuendelea kutovijua.

ivi unahitaji kweli kufundishwa jinsi nyege ilivyo?!unadhani wanaotoa michango hawajui tatizo la Shadya
 
Shadya9 ukishaitumia ile dawa uje utoe mrejesho best......MUNGU AKUPONYE!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwani unajihisi kupungukiwa nini usipopata ashiki,
nimeuliza hivyo nikizingatia kuwa hujui ashiki huwaje kwa vitendo.

kuna vitu ukiwa huvijui ni bora kuendelea kutovijua.
nimekuskia!!!!!!!!!!
 
Dawa yake ndogo sana mwambie huyo kaka akuramberambe kinyeleo taratibu huku anakushika kisimi ashki itakuja tu
 
We ungekuwa kanda.ya sues ningekushauri kitu sikufichi ungembaka hata houseboy wakokwa mizuka.ni pm tafadhari.
 
Back
Top Bottom