Dawa ya chuki ya wala vumbi ni Nyani Ngabu

Simplicity.

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
2,636
Reaction score
1,662
Kuna uzi mmoja joshua_ok aliuanzisha kwamba katika kufanikisha sera ya nchi ya viwanda diaspora tushirikishwe, cha ajabu niliona reactions za wabongo, hasa Lumumba crew ( aka wala vumbi au buku7), wakishusha matusi dhidi ya diaspora sijawahi kuona! Kuna mmoja avatar yake ni picha ya Hitler, huyo jamaa alishusha maneno na matusi kama vile ana laana! Copenhagen DN, alitukanwa na kudhihakiwa mpaka nikamwonea huruma. Mara ana kiingereza kibovu, sijui mara vile, mazagazaga kibao.

Mbona kuna nchi kibao Africa wakuu wake hawajui kiinglish? Kwani kiingereza kitu gani? Mjijibu wenyewe, walavumbi.

Nashauri diaspora yoyote uliyepo humu, kama unataka kuanzisha uzi, maana nimeona walavumbi ni balaa na ni kama wana laana hasa kwa matusi yao hayo, mtag Nyani Ngabu.

Wanamgwaya Nyani kama Van damme wa Sinza! Atawatembezea mkong'oto kwa kadri watakavyojileta mpaka watasalimu amri, hata kama wawe wangapi, na hapo utaendelea kufurahia uzi wako kwa amani.

Wakijifanya wajuaji Ngabu atawanyuka mpaka wakae, sitasahau kuna jamaa alipigwa dongo na Ngabu kuwa kitanda anacholalia yeye na mke wake kina gharama ndogo kuliko breakfast yake katika mgahawa wa West Point, *****, mbona alitoroka uzi!
 
Achaga ufala umekosa kazi ya kufanya au?
 
Acha ushamba.tatizo mnajiona bora uko mlipo.utafikiri mpo peponi.kutuita wala vumbi.mnaanzisha bifu zisizo na maana.
 
Bob kuna watu wana gubu acha [emoji23][emoji23]

Mtu anajiona kesha gonga miaka flan hata hapo KE hajawahi kutia maguu wala hamna matumaini ya kutoka TZ. Hilo povu lake sasa.

Ni kwenda nao hvyo hvyo tu, design kisaikolojia hawako sawa.

Na hivi magu anavyo wapeleka puta...ndio kabisaa downtown mbeleez ni bila bila u kno. [emoji23][emoji23]
 
Mpuuzi ww what is the big deal kuwa kwa wazungu.... jambo la msingi ni kumek cash....juzi nimerudi Tz kutoka Miami......tar 3 naelekea Tokyo .....siwezi dharau ndugu zangu kwa kuwaita wala vumbi.... kisa nakaa kwa wazungu huo ushamba......stupid nigga!
 
Umekula....??
 
Sitaki nataka kama wanawake fulani, sasa uwakute vijiweni wanavyodiscuss namna ya kupata papers za kwenda mbele, utawahurumia. Wakiwa jf kwa sababu hatuwajui, wanatukana balaa!
 
Una mtizamo dhaifu, vumbi nini, maana wewe unachojua kwenye maisha ni cash tu!
 
Sitaki nataka kama wanawake fulani, sasa uwakute vijiweni wanavyodiscuss namna ya kupata papers za kwenda mbele, utawahurumia. Wakiwa jf kwa sababu hatuwajui, wanatukana balaa!
Hahaha jamani acheni tu. I can bet, Kutia maguu states let alone kuishi kule ni dream ya kila mtu.

Mimi tokea nakua i have always wished to get there....nashkuru Mungu ndoto yangu ilitimia nikafika, nikaishi na nikarudi zangu TZ. Ukikaa sana kule ukirudi trust me pale pale JKNIA utapaona bongo pa kifal.a sanaa cz kuna this life style unai experience ni tofauti kabisa na huku (hata kama huna hela)....ila ndio hvyo nyumbani ni nyumbani tu.

UK or US visa sio biskuti baba anakuletea nyumbani. [emoji23][emoji23]
 
Ni nani asiyekutambua wewe Nyani Ngabu kuwa ndo unatumia hii Id unayojiita "Simplicity"

[emoji2] Ukiwa muongo unatakiwa uwe a kumbukumbu, nasubiri uje kunipinga hapa ili nikudondoshee ushahidi uumbuke kabisa.

Unatafuta umaarufu ili iweje? USHAMBA TUU
 
Ila Kwa upande wangu namshukuru Mungu sana tena sana niko hapa nabeba boksi. Sijui ningekuwa bongo nakula vumbi na kung'atwa na mbu ingukuwaje? I swear ningekomit suicide. Shida, zarau na masimango niliyopitia *****.

Siyo tajiri ila laif simple ninayo amani na furaha.

God bles Denmark
 
Mpuuzi ww what is the big deal kuwa kwa wazungu.... jambo la msingi ni kumek cash....juzi nimerudi Tz kutoka Miami......tar 3 naelekea Tokyo .....siwezi dharau ndugu zangu kwa kuwaita wala vumbi.... kisa nakaa kwa wazungu huo ushamba......stupid nigga!
Nilivyomwelewa sio wote wanaokaa TZ ni wala vumbi bali kuna jamii ya watu flani
 
Kuna uzi mmoja joshua_ok aliuanzisha kwamba katika kufanikisha sera ya nchi ya viwanda diaspora tushirikishwe, cha ajabu niliona reactions za wabongo, hasa Lumumba crew ( aka wala vumbi au buku7), wakishusha matusi dhidi ya diaspora sijawahi kuona! Kuna mmoja avatar yake ni picha ya Hitler, huyo jamaa alishusha maneno na matusi kama vile ana laana! Copenhagen DN, alitukanwa na kudhihakiwa mpaka nikamwonea huruma. Mara ana kiingereza kibovu, sijui mara vile, mazagazaga kibao.

Mbona kuna nchi kibao Africa wakuu wake hawajui kiinglish? Kwani kiingereza kitu gani? Mjijibu wenyewe, walavumbi.

Nashauri diaspora yoyote uliyepo humu, kama unataka kuanzisha uzi, maana nimeona walavumbi ni balaa na ni kama wana laana hasa kwa matusi yao hayo, mtag Nyani Ngabu.

Wanamgwaya Nyani kama Van damme wa Sinza! Atawatembezea mkong'oto kwa kadri watakavyojileta mpaka watasalimu amri, hata kama wawe wangapi, na hapo utaendelea kufurahia uzi wako kwa amani.

Wakijifanya wajuaji Ngabu atawanyuka mpaka wakae, sitasahau kuna jamaa alipigwa dongo na Ngabu kuwa kitanda anacholalia yeye na mke wake kina gharama ndogo kuliko breakfast yake katika mgahawa wa West Point, *****, mbona alitoroka uzi!
tatizo kubwa ambalo huwa naliona kwa watz wanaozamia nje ya nchi, ni ushamba tu. yeye anaona raha sana kukaa sehemu anaona mazingira mazurii, hajui wenzake waliyajenga kabla yeye hajaenda, hata kama hana hela anajiona yuko juu, kumbe unaweza mkuta mtz amebaki hapahapa bongo ametengeneza hela balaa lakini anaishi zake kibaha au chaline, moro etc tu hapo.

huko ulaya mnapata shida sana, rudini nyumbani, mnadharaulika kwanza kwa rangi yenu, dini zenu, na umasikini wenu. mnashinda kutitisha/kutawaza vizee vya kizungu na matahira tu huko, kubeba mabox na kujifanya mko juu wakati mnaishi maisha magumu balaa.

halafu, mbona tukija huko mnatuomba sana hela wakati nyie ndo mko ulaya sisi tunatoka bongo? mmepauka kam ahamko ulaya..hahaa. hakika nakuambia, kati ya vitu vya kuepuka ukitembelea ulaya au america, ni kuwa karibu na mtz mzamiaji. wanakuwa tegemezi hadi kwa wanafunzi. mtu amekuja zake kusoma tu huko lakini mababa mazima yanaomba hela ya kula yanatia huruma, rudini home, acheneni na utumwa huo. dah.
 
Back
Top Bottom