Dawa ya chuki ya wala vumbi ni Nyani Ngabu

Dawa ya chuki ya wala vumbi ni Nyani Ngabu

Hahaha jamani acheni tu. I can bet, Kutia maguu states let alone kuishi kule ni dream ya kila mtu.

Mimi tokea nakua i have always wished to get there....nashkuru Mungu ndoto yangu ilitimia nikafika, nikaishi na nikarudi zangu TZ. Ukikaa sana kule ukirudi trust me pale pale JKNIA utapaona bongo pa kifal.a sanaa cz kuna this life style unai experience ni tofauti kabisa na huku (hata kama huna hela)....ila ndio hvyo nyumbani ni nyumbani tu.

UK or US visa sio biskuti baba anakuletea nyumbani. [emoji23][emoji23]
Waeleze hawa jamaa, maana wengi wamestruggle kupata visa mpaka basi!
 
Ni nani asiyekutambua wewe Nyani Ngabu kuwa ndo unatumia hii Id unayojiita "Simplicity"

[emoji2] Ukiwa muongo unatakiwa uwe a kumbukumbu, nasubiri uje kunipinga hapa ili nikudondoshee ushahidi uumbuke kabisa.

Unatafuta umaarufu ili iweje? USHAMBA TUU
Nyani Ngabu na Simplicity. hawafahamiani!
 
Nilivyomwelewa sio wote wanaokaa TZ ni wala vumbi bali kuna jamii ya watu flani
Sio wote,
tatizo kubwa ambalo huwa naliona kwa watz wanaozamia nje ya nchi, ni ushamba tu. yeye anaona raha sana kukaa sehemu anaona mazingira mazurii, hajui wenzake waliyajenga kabla yeye hajaenda, hata kama hana hela anajiona yuko juu, kumbe unaweza mkuta mtz amebaki hapahapa bongo ametengeneza hela balaa lakini anaishi zake kibaha au chaline, moro etc tu hapo.

huko ulaya mnapata shida sana, rudini nyumbani, mnadharaulika kwanza kwa rangi yenu, dini zenu, na umasikini wenu. mnashinda kutitisha/kutawaza vizee vya kizungu na matahira tu huko, kubeba mabox na kujifanya mko juu wakati mnaishi maisha magumu balaa.

halafu, mbona tukija huko mnatuomba sana hela wakati nyie ndo mko ulaya sisi tunatoka bongo? mmepauka kam ahamko ulaya..hahaa. hakika nakuambia, kati ya vitu vya kuepuka ukitembelea ulaya au america, ni kuwa karibu na mtz mzamiaji. wanakuwa tegemezi hadi kwa wanafunzi. mtu amekuja zake kusoma tu huko lakini mababa mazima yanaomba hela ya kula yanatia huruma, rudini home, acheneni na utumwa huo. dah.
Hao wanaokuomba hela na kuwa tegemezi ni wala vumbi wenzio, sijui walitoroka nini huko uliko! Wazungu walituibia ndio wakajenga Ulaya wakati wa ukoloni. Diaspora wanamega rasilimali walizoiba kisela. Dharau kitu gani? Wewe mwenyewe hapo kuna watu wanakudharau, mbaya zaidi ni walavumbi wenzio. Na ushamba ni kitu gani? Wewe ukitua NYC si utang'aa macho mpaka yang'oke, sio ushamba ni nini sasa!
 
Ila Kwa upande wangu namshukuru Mungu sana tena sana niko hapa nabeba boksi. Sijui ningekuwa bongo nakula vumbi na kung'atwa na mbu ingukuwaje? I swear ningekomit suicide. Shida, zarau na masimango niliyopitia *****.

Siyo tajiri ila laif simple ninayo amani na furaha.

God bles Denmark
Sasa wala vumbi wakisikia hivyo, wanataka kuhara!
 
Waeleze hawa jamaa, maana wengi wamestruggle kupata visa mpaka basi!
nikikuuliza unafanya kazi gani huko na haujasoma shule, utasemaje mzee. ni kazi gani hizo unafanya huku mkirudi mnarudi na koti tu na kabegi mgongoni? tumeshakuja kusoma huko tumeishi sana, na ninyi mnatuomba hela na mnatia huruma hadi mbele ya sisi tuliokuja kama wanafunzi. poleni sana.
 
Sio wote,

Hao wanaokuomba hela na kuwa tegemezi ni wala vumbi wenzio, sijui walitoroka nini huko uliko! Wazungu walituibia ndio wakajenga Ulaya wakati wa ukoloni. Diaspora wanamega rasilimali walizoiba kisela. Dharau kitu gani? Wewe mwenyewe hapo kuna watu wanakudharau, mbaya zaidi ni walavumbi wenzio. Na ushamba ni kitu gani? Wewe ukitua NYC si utang'aa macho mpaka yang'oke, sio ushamba ni nini sasa!
tatizo mnaenda huko hamjasoma halafu mnakuwa watumwa na kufanya kazi za kitumwa. ndio maana akili zenu nyie wooote zinafanana. nilimshangaa siku moja boss wenu le mutuz, anahojiwa anasema ati yeye kuishi 30 years nje, amewazidi watu wengi sana upeo na akili..hahaha, nilishangaa kwasababu mimi kwa kumsikiliza tu niliona akili yake ndogo kama ya la saba. akili zenu huwa hazikui, ulimbukeni na ushamba tu. hata mtu mzima utafikiri mtoto. hata hao wazungu wanawashangaa.
 
Ni nani asiyekutambua wewe Nyani Ngabu kuwa ndo unatumia hii Id unayojiita "Simplicity"

[emoji2] Ukiwa muongo unatakiwa uwe a kumbukumbu, nasubiri uje kunipinga hapa ili nikudondoshee ushahidi uumbuke kabisa.

Unatafuta umaarufu ili iweje? USHAMBA TUU

1. Wewe ni muongo na mzushi mkubwa. Mimi siyo Simplicity. Na huna ushahidi wowote ule kwa sababu mimi siyo huyo jamaa.

2. Nilichodanganya mimi ni nini hadi uniite muongo?

3. Mimi nitafute umaarufu humu? Kwa taarifa yako sina haja yoyote ile ya kutafuta umaarufu humu. Mimi tayari ni maarufu.

*Tatizo lenu wengi wenu nadhani huwa nawapa kiwewe sana hadi mnaishia kuona maruerue na kuanza kujihisi na kuhisi watu kimakosa. Wengine hata nikiwa nachangia mada huwa wanadhani nawazungumzia wao wakati hata habari nao sina. Wengine ndo kama wewe sasa. Umejiaminisha kuwa mi ndo Simplicity wakati mimi na huyo bwana ni watu wawili tofauti kabisa. Simjui hanijui. Mara mdai mimi ni Richard Mugizi, mara mdai mimi ni Ndjabu da Dude, mara mdai mimi ndo Simplicity...seriously?*

Valentina njoo uone muona maruerue mwingine huyu!
 
nikikuuliza unafanya kazi gani huko na haujasoma shule, utasemaje mzee. ni kazi gani hizo unafanya huku mkirudi mnarudi na koti tu na kabegi mgongoni? tumeshakuja kusoma huko tumeishi sana, na ninyi mnatuomba hela na mnatia huruma hadi mbele ya sisi tuliokuja kama wanafunzi. poleni sana.
Wewe mgonjwa nini, hao uliokuwa unawapa hela ni ndugu zako, walavumbi wenzio waliotoroka, kwa hiyo wewe ulisoma nini na wapi? Muhaya nini ? Na elimu yako kama sio umeishia kula vumbi na kuwa na akili kama ya prof pumba tu! Sisi ni namba nyingine. Kaa zako Mpwerendendondo huko. Ulaya au America wewe huwezi kuishi, kula vumbi huko.
 
Kuna watu na majinuni humu.

Wanaona maruerue halafu wanaanza kujihisi, kuhisi wengine, na kujishuku pasipo hata na sababu.

Sasa mimi na wewe wapi na wapi?

Foolery.

Vumbi linawachanganya, bora umekuja, washenzi sana, wanawaonea madiaspora wakati sasa hivi na hii hali ngumu hata chai tu ni ya kubahatisha kwao!
 
Mpuuzi ww what is the big deal kuwa kwa wazungu.... jambo la msingi ni kumek cash....juzi nimerudi Tz kutoka Miami......tar 3 naelekea Tokyo .....siwezi dharau ndugu zangu kwa kuwaita wala vumbi.... kisa nakaa kwa wazungu huo ushamba......stupid nigga!
Wazungu wenyewe wakirudi kwao toka Bongo airport pale wanalia,wanajua wanaenda kwenye matatizo huko kwao.
 
Wanamgwaya Nyani kama Van damme wa Sinza!

Van Dame wa Sinza [Ayubu Mkobo] nimepiga naye sana chuma yule mchizi.

Kiboko ya Lintu huyo jamaa...kuna siku moja alimpa Lintu kichapo kitakatifu.

Itabidi nimuibukie huyo mchizi wangu hivi karibuni maana imekuwa kitambo sasa hatujaonana.
 
Ila Kwa upande wangu namshukuru Mungu sana tena sana niko hapa nabeba boksi. Sijui ningekuwa bongo nakula vumbi na kung'atwa na mbu ingukuwaje? I swear ningekomit suicide. Shida, zarau na masimango niliyopitia *****.

Siyo tajiri ila laif simple ninayo amani na furaha.

God bles Denmark
Bongo so kote kuna Mbu mikoa mwingine ni baridi kama huko mbele
 
Ila huoni shida kuwadharau ndugu zako walioenda kutafuta maisha kwingine na kuwaita wabeba maboksi na watawaza vizee eh?
Hawa jamaa vichwa vyeo ni finyu, kama sanasana kuzunguka kwake kaishia Manzese, mwingine Dar anaisikia tu, ukichanganya na vumbi lazima akili zao ziwe zimeziba! Wamwuulize JK mambo ya Europa na America.
 
Wala vumbi[emoji3] [emoji3] [emoji87] [emoji87]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom