Dawa ya chuki ya wala vumbi ni Nyani Ngabu

1. Wewe ni muongo na mzushi mkubwa. Mimi siyo Simplicity. Na huna ushahidi wowote ule kwa sababu mimi siyo huyo jamaa.

2. Nilichodanganya mimi ni nini hadi uniite muongo?

3. Mimi nitafute umaarufu humu? Kwa taarifa yako sina haja yoyote ile ya kutafuta umaarufu humu. Mimi tayari ni maarufu.

*Tatizo lenu wengi wenu nadhani huwa nawapa kiwewe sana hadi mnaishia kuona maruerue na kuanza kujihisi na kuhisi watu kimakosa. Wengine hata nikiwa nachangia mada huwa wanadhani nawazungumzia wao wakati hata habari nao sina. Wengine ndo kama wewe sasa. Umejiaminisha kuwa mi ndo Simplicity wakati mimi na huyo bwana ni watu wawili tofauti kabisa. Simjui hanijui. Mara mdai mimi ni Richard Mugizi, mara mdai mimi ni Ndjabu da Dude, mara mdai mimi ndo Simplicity...seriously?*

Valentina njoo uone muona maruerue mwingine huyu!
Inabidi nikufungie kabatini wewe
 
Inabidi nikufungie kabatini wewe

Imefikia kipindi siwezi andika kitu chochote humu bila ya mtu au watu kujishuku kuwa nawazungumzia wao na kuzushiwa IDs ambazo hata sihusiani nazo.

Sikujua homa ya Ngabu ni kali kiasi hiki.

Itabidi niingie maabara niitafutie tiba hiyo homa.
 
Mkuu Ngabu Richard Mungizi leo umekua Simplicity
Kesho itasemekana Ngabu
ni yule babu wa Loliondo!
 
Ila Kwa upande wangu namshukuru Mungu sana tena sana niko hapa nabeba boksi. Sijui ningekuwa bongo nakula vumbi na kung'atwa na mbu ingukuwaje? I swear ningekomit suicide. Shida, zarau na masimango niliyopitia *****.

Siyo tajiri ila laif simple ninayo amani na furaha.

God bles Denmark
ila nakupenda sana.una adabu sana wewe kaka .basi tu maisha napenda mwanaume mnyenyekevu kama wewe!
ipo siku tu
 
Imefikia kipindi siwezi andika kitu chochote humu bila ya mtu au watu kujishuku kuwa nawazungumzia wao na kuzushiwa IDs ambazo hata sihusiani nazo.

Sikujua homa ya Ngabu ni kali kiasi hiki.

Itabidi niingie maabara niitafutie tiba hiyo homa.
Shenzy sana wewe NN....
 
Ila Kwa upande wangu namshukuru Mungu sana tena sana niko hapa nabeba boksi. Sijui ningekuwa bongo nakula vumbi na kung'atwa na mbu ingukuwaje? I swear ningekomit suicide. Shida, zarau na masimango niliyopitia *****.

Siyo tajiri ila laif simple ninayo amani na furaha.

God bles Denmark
siku nyingi sijakutana
na stori za mitaa hapo
Copenhagen kwenye box

Kuna binti kakupenda hapo
malizana naye kwanza
usiache anayekupenda
mapenzi yakamfunga jela
 
Ila Kwa upande wangu namshukuru Mungu sana tena sana niko hapa nabeba boksi. Sijui ningekuwa bongo nakula vumbi na kung'atwa na mbu ingukuwaje? I swear ningekomit suicide. Shida, zarau na masimango niliyopitia *****.

Siyo tajiri ila laif simple ninayo amani na furaha.

God bles Denmark
Jirani siku hizi umeadimika mno, au ndio maandalizi ya winter??
 
Back
Top Bottom