Aaaahhh... kumbe uko mavumbini kama mimi??? Yani ulikosa mtasha mmoja?? Ungemtia mimba ungekuta nawe uko kule mida hii. Ni bora kuogesha dogi ughaibuni kuliko kuwa mbunge mavumbini kwikwikwiiiiiiiHahaha mbele mbele bob. [emoji23][emoji23]
Mi nsharudi vumbini huku nlikaa kule for like 5 years (ki masomo). Acha tu kila siku nikiangalia taarifa ya habari na kuona vibweka vya huku bongo....ndio nazidi kupa miss mbele man. Daah
Aaah bob watakutia stress tu wale....kuna ma child support, taxes, bills bills bills bills ma nigga + other life expenses (what u earn flows back in the system).Aaaahhh... kumbe uko mavumbini kama mimi??? Yani ulikosa mtasha mmoja?? Ungemtia mimba ungekuta nawe uko kule mida hii. Ni bora kuogesha dogi ughaibuni kuliko kuwa mbunge mavumbini kwikwikwiiiiiii
Oups... kumbe tuko pamoja. Nlishawahi kupitia vinchi kadhaa. Maisha ya ughaibuni mi siyawezi asee... Bora kupambana hapahapa mavumbini... ukijipatia visenti unaruka kwenda kula bata kwa viwiki viwili vitatu then unarudi zako mavumbini.Aaah bob watakutia stress tu wale....kuna ma child support, taxes, bills bills bills bills ma nigga + other life expenses (what u earn flows back in the system).
At times ukiwaza unaona utajitia kifungoni for life. Watu wanalipa mortgage for a life time. Utakacho enjoy ww ni maisha mazuri, elimu nzuri, good health services but to be honest there is no life there (life as in real financial freedom kama huku). Kule ni unaenda mzigoni to the extent at tyms u dnt even have time for urself. Its lonely + poor social lifestyle, watu its like 24/7 wako on the run grinding.
Its very different here. Huku pagumu ndio ila pana uhuru flan kimaisha i.e.socially and economically - Fursa Nyingi ukiwa na mtaji (nnje wanatamba na minimum wage nzuri ndio ila still 75% of the people there are struggling financially.)
Kule pazuri kutaftia mtaji. Wajanja huenda kule kwa malengo. Bongo ukipata kianzio cha ukweli, ur off to go. Najua itakua ngumu kunielewa, ila waliowahi ishi kule watakubaliana na mm.
Duh!🙁Mpuuzi ww what is the big deal kuwa kwa wazungu.... jambo la msingi ni kumek cash....juzi nimerudi Tz kutoka Miami......tar 3 naelekea Tokyo .....siwezi dharau ndugu zangu kwa kuwaita wala vumbi.... kisa nakaa kwa wazungu huo ushamba......stupid nigga!
Oups... kumbe tuko pamoja. Nlishawahi kupitia vinchi kadhaa. Maisha ya ughaibuni mi siyawezi asee... Bora kupambana hapahapa mavumbini... ukijipatia visenti unaruka kwenda kula bata kwa viwiki viwili vitatu then unarudi zako mavumbini.
Asikuambie mtu bongo ukikamata visenti maisha yanakuwa matamu balaa. Kwa ambaye hajawahi kufika huko hawezi kukuelewa.
Ila kuna baadhi ya wenzetu wameshayazoea maisha ya kule. Kuja huku wanaona tabu. Kila mtu ana taste yake ya maisha.
Mi kuishi ughaibuni... nehi!! Ntaenda kuzurura na kurudi mavumbini kwangu kwa amani.
Ndio maana nikasema UK or US kuna lifestyle flan hivi unaishi ni very organised and well set up, u work hela utaipata ndio ila yoooote utashangaa ina flow back kwa system. Ni pazuri, pasafi, very classic and upto standards....ukicheck na weather na kuishi sehem ina mi sky scrapers, night clubs et al, unapiga kazi unapata hela unayoweza kula bata sehem nzuri, wabebez kibao domo lako tu [emoji23][emoji23]. Ukiwa na masela raha kichz basi unaona umeyaweza mwenyewe hahaha
Kumiliki gari sijui kusafiri na ndege often ni kitu cha kawaida sana mbele....sasa ile life watu wakifkiria msoto wa bongo huku watu hawarudi miaka 900 ila in real sense people save little to nothing unless una kazi ya maana like a qualified engineer or doctor (still taxes kibao), we si uangalie mfano kwa The King of All Bongo Social Media Networks [emoji23][emoji23]
We ishi kule for sometime then rudi ujijenge huku.
Halafu, kwani bongo ndo unaweza kuweka akiba nyingi ya hela?Still unaweza ku save some reasonable income kila mwezi mkuu
Ni Wewe mwenyewe tu
Halafu, kwani bongo ndo unaweza kuweka akiba nyingi ya hela?
Ndo kusema bongo watu wana disposable income kuliko US na Ulaya?
I think not.
Ingekuwa ni kweli basi watu wengi sana Tanzania wangekuwa na mahela kibao.
unajuavkuna watu hawajui kuwa nchi za wenzetu unaweza kuvaa kiatu wiki hata mbili huja brashi maana hakuna vumbi lakini ukikanyaga tu kwenye viwanja Vya ndege vya bongo utanzani unatoka shambani...Sasa sio mla vumbi?
Still unaweza ku save some reasonable income kila mwezi mkuu
Ni Wewe mwenyewe tu
Bob sikatai its very much possible ku save a reasonable amount of money kila mwezi mbele ONLY IF you are leading a single life (huna mpenzi au familia) otherwise babu u save few pounds/dollars to nothing...labda uwe na kazi ya maana i.e. Qualified Engineer au Doctor (Still taxes ni nyingi)
Cz ukiwa single unaweza ukapiga kazi ukaishi kwenye single low cost room, gharama ndogo za misosi, bills zinakua shared na other tenants et al cz ni rahisi kuishi kibahili ukiwa mwenyewe kuliko ukiwa na dem au familia (mimi nime experience hyo kitu for like 2.5 years of my stay there, nilivyokua na mwanamke ndani nikajikuta i spend more)
Ila ukiwa na dem sijui familia utajikuta ur spending more labda upate dem waki Africa mwenye vision ya mbali na kuridhika na the simple life ur ought to lead. Too bad bila maujanja ya arranged marriages hupati permit ya kupiga kazi na kuishi kule ( ndio tunarudi kwenye fact ile ile that utajifunga mwenyewe)
In many situations utakuta wanafunzi wanaoenda kupiga shule ulaya/US ni rahisi kufanikiwa flan cz many lead single lives kuliko walio settle kule ambao unakuta hawana hata exemptions/benefits zozote.
You can have a spouse and a family and still save some reasonable income every month
You can save for emergency savings, tuition for your kids and support members of your extended family in Africa. On top of that, you can retire peacefully with your loaded 401K and social security from Uncle Sam.
You can still go for vacation with your family to a destination of your choice at least once a year. Not to mention weekend gateways from time to time. At the sametime you can afford a mortgage for a crib in a good neighborhood and afford a car note for the vehicle of your choice.
That's a fact.
Inawezekana 100% in the US, not sure about Europe cause I don't know shit about Europe since I haven't lived there.
I'm a living testimony and have the audacity to let you know from a real experience.
Haya yote yanawezekana if you have the right brain, smart, determination, perseverance and disciplined
Ila ukitaka short cuts au ukiwa lazy then haitawezekana
Imefikia kipindi siwezi andika kitu chochote humu bila ya mtu au watu kujishuku kuwa nawazungumzia wao na kuzushiwa IDs ambazo hata sihusiani nazo.
Sikujua homa ya Ngabu ni kali kiasi hiki.
Itabidi niingie maabara niitafutie tiba hiyo homa.
Hahahhaha hapo kwa le King of ze Media... ngoja ni reserve my comment.Ndio maana nikasema UK or US kuna lifestyle flan hivi unaishi ni very organised and well set up, u work hela utaipata ndio ila yoooote utashangaa ina flow back kwa system. Ni pazuri, pasafi, very classic and upto standards....ukicheck na weather na kuishi sehem ina mi sky scrapers, night clubs et al, unapiga kazi unapata hela unayoweza kula bata sehem nzuri, wabebez kibao domo lako tu [emoji23][emoji23]. Ukiwa na masela raha kichz basi unaona umeyaweza mwenyewe hahaha
Kumiliki gari sijui kusafiri na ndege often ni kitu cha kawaida sana mbele....sasa ile life watu wakifkiria msoto wa bongo huku watu hawarudi miaka 900 ila in real sense people save little to nothing unless una kazi ya maana like a qualified engineer or doctor (still taxes kibao), we si uangalie mfano kwa The King of All Bongo Social Media Networks [emoji23][emoji23]
We ishi kule for sometime then rudi ujijenge huku.
Na najua mie ndio malikia wa hiyo ranch so malizia haraka babu yanguHahahhaha hapo kwa le King of ze Media... ngoja ni reserve my comment.
Ila umesema ukweli mtupu...
Ngoja niendelee kumalizia ka ranch kangu hapo Bagamoyo. Kucheza na kondoo pia kuna raha zake... hata kama unatembelea RavFoo...
Haya... usisahau kuja na mkongojo wa babuNa najua mie ndio malikia wa hiyo ranch so malizia haraka babu yangu
Shida iko pale ambapo mbongo anakuja ughaibuni na kukutana na Watu wa circle yake ambao majority are losers then anafanya assumptions na generalizations kutokana na aliyoyaona kuhusu hiyo circle yake of losers kuitangazia dunia kuwa maisha ughaibuni magumu
Kuna Kiranga na NN na circles zao ambazo majority Ya hizo circles zao ni 6 figure guys ila hawajichanganyi kiviile