Dawa ya chuki ya wala vumbi ni Nyani Ngabu

Dawa ya chuki ya wala vumbi ni Nyani Ngabu

Si waziunganishe hizo id wanasubiri nini ,halaf uje ile pande
Hahaaa hawawezi kufanya hivo kwa sababu mimi sio hao watu.

Halafu eti hata wewe unasemwa kuwa ndo mimi.

Idadi ya wapumbavu JF ni kubwa kuliko nilivokuwa nadhania.
 
Mkuu, vipi kiaje?

Winter vipi limekolea?
mkuu winter taratib linajongea. Fall ndio hiyo tumeiaga. Napenda sana fall season majani ya miti yanapobadilika rangi na kuwa brown goldish. Mkuu naona umevadilisha avatar tulikuzoea na Ile ya jez nyekundu
 
Ushahidi uko mwingi sana wa kukuumbua wewe limbukeni, embu anza kwanza na huu https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/16934295
Acha ushamba na mikogo ya kingese, maana haina faida yoyote
Potezea multiple ID huwa
*Mwandiko unafanana
*Moja post nyingi nyingine chache kwa GAP kubwa maana kuzitumia zote kila siku ni ngumu
*Swaga mfano matusi n.k hufanana
*Mara nyingi moja ikianzisha mada nyingine inaibuka fasta kureply tena sapoti ya kufa mtu

Ndo uzoefu wangu
Wenye akili wanaelewa
 
Sasa mbona uliacha vyuo vyenu ukaenda Ulaya? Kwa nini hukwenda Teku au Teofili Kisanji? Kwa roho yako mbaya, hukutoa hela mfukoni, vinginevyo itakuwa ndio wale ambao baba zao wameibia sana hii nchi.
Mkuu kuna wengine wametumia life savings za wazazi wao kusoma Ulaya.
 
Kuna uzi mmoja joshua_ok aliuanzisha kwamba katika kufanikisha sera ya nchi ya viwanda diaspora tushirikishwe, cha ajabu niliona reactions za wabongo, hasa Lumumba crew ( aka wala vumbi au buku7), wakishusha matusi dhidi ya diaspora sijawahi kuona! Kuna mmoja avatar yake ni picha ya Hitler, huyo jamaa alishusha maneno na matusi kama vile ana laana! Copenhagen DN, alitukanwa na kudhihakiwa mpaka nikamwonea huruma. Mara ana kiingereza kibovu, sijui mara vile, mazagazaga kibao.

Mbona kuna nchi kibao Africa wakuu wake hawajui kiinglish? Kwani kiingereza kitu gani? Mjijibu wenyewe, walavumbi.

Nashauri diaspora yoyote uliyepo humu, kama unataka kuanzisha uzi, maana nimeona walavumbi ni balaa na ni kama wana laana hasa kwa matusi yao hayo, mtag Nyani Ngabu.

Wanamgwaya Nyani kama Van damme wa Sinza! Atawatembezea mkong'oto kwa kadri watakavyojileta mpaka watasalimu amri, hata kama wawe wangapi, na hapo utaendelea kufurahia uzi wako kwa amani.

Wakijifanya wajuaji Ngabu atawanyuka mpaka wakae, sitasahau kuna jamaa alipigwa dongo na Ngabu kuwa kitanda anacholalia yeye na mke wake kina gharama ndogo kuliko breakfast yake katika mgahawa wa West Point, *****, mbona alitoroka uzi!
Yaani mpaka umuite mtu aje akutetee?? Kweli wewe afadhari ungebaki tu hapa Tz, huko nje ufagiaji unakuharibu ma wala haukupi confidence yoyote!
 
just imagine mtu badala ajadili mada anakuja kutoa povu huku eti mimi ni mwanaume .hata mfano ningekuwa mwanaume inamuhusu nini? si afanye yake yaliyomleta? wala vumbi kweli ni matatizo kumbe Nyani Ngabu hajakosea .ndo maana jamaa huwa anawachana live maana utoto mwingi
Baby nani anasema wewe ni mwanaume?!!
 
Hahaaa hawawezi kufanya hivo kwa sababu mimi sio hao watu.

Halafu eti hata wewe unasemwa kuwa ndo mimi.

Idadi ya wapumbavu JF ni kubwa kuliko nilivokuwa nadhania.
Hiiii hiiii hiiiii hiiiiii manyanya mabheseeeeee
 
mkuu winter taratib linajongea. Fall ndio hiyo tumeiaga. Napenda sana fall season majani ya miti yanapobadilika rangi na kuwa brown goldish. Mkuu naona umevadilisha avatar tulikuzoea na Ile ya jez nyekundu

😀😀😀

Napenda sana muziki mkuu lakini badi mimi ni gunner damu.
 
Wacha wee...

Habu nfanzie mpango nije nitakase macho hata kwa nusu siku asee..
Hahaha mbele mbele bob. [emoji23][emoji23]
Mi nsharudi vumbini huku nlikaa kule for like 5 years (ki masomo). Acha tu kila siku nikiangalia taarifa ya habari na kuona vibweka vya huku bongo....ndio nazidi kupa miss mbele man. Daah
 
Back
Top Bottom