Dawa ya chuki ya wala vumbi ni Nyani Ngabu

Dawa ya chuki ya wala vumbi ni Nyani Ngabu

akili zenu zimetawaliwa na wazungu hadi mnaamini kila anayesoma ulaya au america anasomeshwa na wazungu. ndio maana tunawaita watumwa nyie, rudini kwenu mpone. kwa taarifa yako, hela ilitoka mfukoni mwangu. sihitaji kubishana na wewe mtumwa wa wazungu.
Sasa mbona uliacha vyuo vyenu ukaenda Ulaya? Kwa nini hukwenda Teku au Teofili Kisanji? Kwa roho yako mbaya, hukutoa hela mfukoni, vinginevyo itakuwa ndio wale ambao baba zao wameibia sana hii nchi.
 
Hahaha jamani acheni tu. I can bet, Kutia maguu states let alone kuishi kule ni dream ya kila mtu.

Mimi tokea nakua i have always wished to get there....nashkuru Mungu ndoto yangu ilitimia nikafika, nikaishi na nikarudi zangu TZ. Ukikaa sana kule ukirudi trust me pale pale JKNIA utapaona bongo pa kifal.a sanaa cz kuna this life style unai experience ni tofauti kabisa na huku (hata kama huna hela)....ila ndio hvyo nyumbani ni nyumbani tu.

UK or US visa sio biskuti baba anakuletea nyumbani. [emoji23][emoji23]
Wacha wee...

Habu nfanzie mpango nije nitakase macho hata kwa nusu siku asee..
 
Ila Kwa upande wangu namshukuru Mungu sana tena sana niko hapa nabeba boksi. Sijui ningekuwa bongo nakula vumbi na kung'atwa na mbu ingukuwaje? I swear ningekomit suicide. Shida, zarau na masimango niliyopitia *****.

Siyo tajiri ila laif simple ninayo amani na furaha.

God bles Denmark
Wewe ni mmoja ya wabeba box ambao mko humble sana na hamnaga matatizo na mtu.. Keep it up
 
Watanzania wengine akili imejaa vumbi tu baada ya kujadili vitu vya maendeleo mnabishana na diaspora hamjui mchango wao kuna jamaa yangu kila week anatuma pesa nyumbani na yeye anajinyima wakati huohuo jamaa zake home wanatanua ile mbaya na dharau nyingi. Nilimshauri jamaa acha kutuma pesa nyumbani fanya mambo yako utakufa maskini kusaidia wala vumbi.
 
Acha ushamba.tatizo mnajiona bora uko mlipo.utafikiri mpo peponi.kutuita wala vumbi.mnaanzisha bifu zisizo na maana.
mkuu hii comment yako na avatar yako hapo amn tofaut umecomment unalia kabsaaa hahahaha
 
just imagine mtu badala ajadili mada anakuja kutoa povu huku eti mimi ni mwanaume .hata mfano ningekuwa mwanaume inamuhusu nini? si afanye yake yaliyomleta? wala vumbi kweli ni matatizo kumbe Nyani Ngabu hajakosea .ndo maana jamaa huwa anawachana live maana utoto mwingi
Tatizo hawajui kujenga scene kichwani(fikrani)pindi wanasoma post zako,mbona zinaonesha binti mrembo tena mweupe wa haja [emoji125]
 
"Mwafrikaaaaaaaaa...!
Basi kumbe mi si nyani, Kama walivyosema hapo zamani!"

Msanii: Watengwa (Kijenge juu)
Wimbo: sio nyani
 
ila nakupenda sana.una adabu sana wewe kaka .basi tu maisha napenda mwanaume mnyenyekevu kama wewe!
ipo siku tu

Naona umefunguka khasa umetoa dukuduku lako la moyoni.

Safi sana hiyo.

Mkuu Copenhagen umesikia?
 
Asilimia kufa ya watanzania wanaokwenda abroad maisha yamewapiga bongo.wakaamua kukimbia.hata nauli Mara nyingi uwa mmeiba.na mkifika huko shida tupu.kama mngekuwa na maisha mazuri,kazi nzuri na nyumba bongo msingekimbia.

Mkuu, unazungumza kiujumla tu au?
 
Back
Top Bottom