Hahaha jamani acheni tu. I can bet, Kutia maguu states let alone kuishi kule ni dream ya kila mtu.
Mimi tokea nakua i have always wished to get there....nashkuru Mungu ndoto yangu ilitimia nikafika, nikaishi na nikarudi zangu TZ. Ukikaa sana kule ukirudi trust me pale pale JKNIA utapaona bongo pa kifal.a sanaa cz kuna this life style unai experience ni tofauti kabisa na huku (hata kama huna hela)....ila ndio hvyo nyumbani ni nyumbani tu.
UK or US visa sio biskuti baba anakuletea nyumbani. [emoji23][emoji23]