Dawa ya chuki ya wala vumbi ni Nyani Ngabu


Kwani dhambi mkiombwa hela nyie? Mbona nyie mnaomba? Kwa hiyo ni sahihi alie ulaya atume tuuuu ila ulie bongo ndo omba omba mpokeaji kila siku??? Mana msipotuniwa ndo mihasira kama mmeuliwa! This proves jinsi wabongo walivyo na mawazo hasi. Kuomba omba damuni.
Ulipokuwa huko ulikoenda uliona pesa zinachumwa kwenye mti na si kufanya kazi km tz na kwamba mtu haruhusiwi kuishiwa?
Acheni hasira za kijinga. Maisha popote.
 

Wana hasira diaspora hawawatumii tena mizinga yao ya kijinga jinga kila siku wana shida kuomba hela. Wasamehe bure
 
Wana hasira diaspora hawawatumii tena mizinga yao ya kijinga jinga kila siku wana shida kuomba hela. Wasamehe bure
Eti yeye alikuwa anawapa watu hela! Alikokuwa anasoma alikuwa amefadhiliwa kwa hela ya wazungu, naye kajiona ana hela mpaka anawasimanga aliowapa, ukimwuuliza uliwasadia sh ngapi, mbona unaweza kuchoka! Huyo ndio Hute roho mbaya.
 
uzi ni wa kipumbavu sana. Halafu unakuta anayesema haya maneno ni wakiume.... vete a la presentador
 
Asilimia kufa ya watanzania wanaokwenda abroad maisha yamewapiga bongo.wakaamua kukimbia.hata nauli Mara nyingi uwa mmeiba.na mkifika huko shida tupu.kama mngekuwa na maisha mazuri,kazi nzuri na nyumba bongo msingekimbia.
 
achana na wala vumbi nyani .ndo maana unawadharau! wanashupalia identity yangu as if nakula kwao mabwege hawa
muulize Pasco jinsia yangu
We mrembo utaniponza bure kuwaambia watu wanaiulize jinsia yako! . Nitaijuaje jinsia ya mwana jf? . Please let's keep private matters to private.

Mimi Pasco wa JF, sijui jinsia ya Miss Natafuta, ila kwa vile niko very open, siku nikiijua, nitawajia.
Tuendelee na mjadala ulio mezani.
Pasco
 
ahahaaa aya bro i miss you tatizo watoto wengi humu wanasema mimi boy eti ! sijui nawahusu nini? uje na camera kabisa uwawekee picha kaka
 
ahahaaa aya bro i miss you tatizo watoto wengi humu wanasema mimi boy eti ! sijui nawahusu nini? uje na camera kabisa uwawekee picha kaka
Siku hizi hakuna haja ya kuja na kamera simu tuu inatosha. Tutapiga picha za kumbukumbu tuu ila usizipaishe kwa vile sisi wengine humu tuna damu ya kunguni, ukionekana nao tuu, kosa! . Wachumba zako humu wataingia mitini bure, hivyo binti mdogo, mzuri, mrembo, usijiponze kwa kurusha picha za wababu, vijana wataingia mitini.
Pasco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…