Dawa ya chuki ya wala vumbi ni Nyani Ngabu

Tatizo lako wewe muoga sana.....
Kweli kabinti kaoga sana kanaogopa sana kutoa, utafikiri kuna mtu atabandua na kuondoka nacho. ...

I mean kutoa kitambulisho chake, anaogopa mtu atabandua picha na kuondoka nayo! , Mkuu Ometa, muondoe wasiwasi mrembo kwa kumthibitishia hakuna yoyote atakayebandua na kuondoka nayo...hiyo picha yake kwenye kitambulisho, kwa sababu vitambulisho vya kisasa picha hazibanduki.

Pasco
 
He hee we Pasco umepinda wallah
 
Ha haa sasa mi nataka nikunyime
Valentina, acha roho mbaya, kuwanyima wenzio, mtu akikuomba mgawie tuu, bahati mbaya mimi nimeishazeeka, meno yote nimeng'oa, hata unigawiya huo muhindi wa kuchoma, nitashindwa kutafuna, na ndio maana siombi, ukipanga kumyima mtu ambae hata kuomba, ni kujifurahisha tuu, hata ikitokea mara moja moja nina hamu sana na mahindi ya kuchoma, kuna mahali maalum nakwendaga, hapo kuna mahindi mabichi machanga machanga, nachagua moja laini laini, rahisi kutafuna hata bila meno, ndio najilia kwa ulaini kabisa, mengi ya mahindi ya mitaani ni magumu, sithubutu hata kununua kujaribu!.

Kwa vile bandiko linahusu mambo ya wana daisifora, hivi wenzetu wakipata hamu ya maindi ya kuchoma, sijui huwa wanapata wapi, maana nikiwatembelea, sijabahatika kuona popote wanapochoma mahindi mitaani kwao!.

Pasco
 
He hee we Pasco umepinda wallah
Vele, mimi sijapinda, niko wima tuu, ila labda ...

nikitaka kuingia mahali ambapo mlango wa kuingilia ni mdogo kuliko urefu wangu mimi, ndio huwa najipinda kidogo ili niweze kuingia, nikishajipinda, ndipo naingia kwa urahisi na haswa kwenye vile vibanda kule maeneo ya uswazi. Vipi wewe Vale kwako kukoje?, mtu anaweza kuingia wima wima au lazima apinde kidogo?.
Pasco
 
Ha ha haa we ni kichaa ujue
 
Eti yeye alikuwa anawapa watu hela! Alikokuwa anasoma alikuwa amefadhiliwa kwa hela ya wazungu, naye kajiona ana hela mpaka anawasimanga aliowapa, ukimwuuliza uliwasadia sh ngapi, mbona unaweza kuchoka! Huyo ndio Hute roho mbaya.
akili zenu zimetawaliwa na wazungu hadi mnaamini kila anayesoma ulaya au america anasomeshwa na wazungu. ndio maana tunawaita watumwa nyie, rudini kwenu mpone. kwa taarifa yako, hela ilitoka mfukoni mwangu. sihitaji kubishana na wewe mtumwa wa wazungu.
 
hizo hela mnawatumia ndugu zenu, kwani mnatuma kwetu, tunahitaji hela za kuosha makalio ya wazee wa kizungu na matahira hizo? hadi huwa nawaonea huruma nikiwakuta huko jinsi mnavyotia huruma alimradi tu muishi nchi za watu. rudini home mpate uhuru. huku mliko hamji kuheshimiwa milele, mtabaki masokwe na nyani tu mbele ya mzungu.
 

Sasa kama unasoma Ulaya, unakuwa unasoma kwa wala vumbi wenzio au wazungu?

We jamaa lipumbavu sana.
 
Sasa kama unasoma Ulaya, unakuwa unasoma kwa wala vumbi wenzio au wazungu?

We jamaa lipumbavu sana.
kwahiyo ata vyuo walivyojenga wazungu tukija kuvisomea mmnaona kama tumekuja kusoma vyuo vyenu kwasababu ninyi hampo kwenye vumbi?hahaha, mimi msomi, sibebi box kama wewe, sioshi mattako ya vizee vya kizungu au matahira kama wewe, na ningeamua kuishi uko ningeishi nikifanya kazi ya kisomi. hivyo vyuo vyenyewe huko mnaviona tu, hata hamwendi kusoma.watu wanatoka huku mnakosema kuna vumbi wanasoma wanapata elimu na akili nyie mnaishia tu kusema mnaishi ulaya, ulaya unaishi ukifanya kazi ipi? una profession ipi? upo katika daraja lipi la huko? sio kila anayeishi ulaya anaishi vizuri, na ninyi wengi hasa wabongo mnapata shida sana kwasababu ya ushamba na kukosa elimu. mlichoweka kichwani mweni ni kwenda tu ulaya kuona majengo na barabara, mtafanya kazi yeyote hata mkidharaulika utu wenu mnaendelea kuishi ulaya, almradi uonekane wa ulaya. kumbe watu wa ulaya na merican wenyewe wanadharau na mpo daraja la chini kabisa. hopeless kabisa nyie. waafrica ambao kidogo nimeona wanafanikiwa au wanaakili labda wanigeria, waghana na wakenya. ila mizamiaji ya kibongo ni mzigo. hakika nyie mlioko bongo mkienda huko ukiona mbongo kimbia kama ukoma, ni mzigo.
 

Get a life, loser.
 
Get a life, loser.
hautakuja kuelewa ninachokuambia kwasababu hauna elimu, hauna akili, mtumwa na akili yako yote imetawaliwa na wazungu/ulaya. pole sana. mnahitaji kukombolewa nyie.hamko sawa.
 
hautakuja kuelewa ninachokuambia kwasababu hauna elimu, hauna akili, mtumwa na akili yako yote imetawaliwa na wazungu/ulaya. pole sana. mnahitaji kukombolewa nyie.hamko sawa.

Get a life.
 
Ahahahah hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…