Dawa ya chuki ya wala vumbi ni Nyani Ngabu

Dawa ya chuki ya wala vumbi ni Nyani Ngabu

We mrembo utaniponza bure kuwaambia watu wanaiulize jinsia yako! . Nitaijuaje jinsia ya mwana jf? . Please let's keep private matters to private.

Mimi Pasco wa JF, sijui jinsia ya Miss Natafuta, ila kwa vile niko very open, siku nikiijua, nitawajia.
Tuendelee na mjadala ulio mezani.
Pasco
1477894688436.jpg
 
Lakini, kwani ni wapi ambako maisha ni marahisi?

Yaani ambako mtu huna bidii wala juhudi lakini unaishi maisha mazuri tu?

Tanzania ndo kuko hivo?

Baadhi yetu tungekuwa sio Watanzania basi tungeishia kudanganywa sana za hekaya na 'Bongo Nyu Yoki'.

Kwa kifupi maisha ya Tanzania ni magumu na ubora wake upo chini mno.

Na hapo sibahatishi wala kukisia. Naongea kwa mamlaka kabisa.

Ukisoma baadhi ya watu humu na kama hujui, unaweza kuondoka na taswira ya kwamba Tanzania watu wenye hela wapo wengi au sijui kuweka akiba [kuwa na disposable income] ni rahisi.

Mimi hilo nalikataa.

Hao wenye hela [halali] wako wapi Tanzania hii bana? Hizo hela ziko wapi? Kila nikiangaza macho naona dhiki tu.

Hao wenye disposable income wako wapi Tanzania hii? Hivi watu kweli huwa wanatembea na kujionea hali halisi ya maisha ya Mtanzania?

Manake watu wanavyoishi inatia huruma. Hizo disposable income ziko wapi?

Kuna kupotoshana sana humu pamoja na kujifariji. Lakini kwa mlipa kodi kama mimi hakuna atakayenidanganya kuhusu hali bora iliyopo Tanzania.

Hakuna kitu kama hicho.

Ukiona matangazo mengi Ya sangoma mitaani yanayohusu pesa za majini, kujiunga na freemason, akili za kufaulu darasa I, nguvu za kiume, kumvuta mpenzi etc Basi ni dhahiri uchumi umekuwa
 
You can have a spouse and a family and still save some reasonable income every month
You can save for emergency savings, tuition for your kids and support members of your extended family in Africa. On top of that, you can retire peacefully with your loaded 401K and social security from Uncle Sam.
You can still go for vacation with your family to a destination of your choice at least once a year. Not to mention weekend gateways from time to time. At the sametime you can afford a mortgage for a crib in a good neighborhood and afford a car note for the vehicle of your choice.
That's a fact.
Inawezekana 100% in the US, not sure about Europe cause I don't know shit about Europe since I haven't lived there.
I'm a living testimony and have the audacity to let you know from a real experience.
Haya yote yanawezekana if you have the right brain, smart, determination, perseverance and disciplined
Ila ukitaka short cuts au ukiwa lazy then haitawezekana

If u don't mind....Can you please tell me, how is this all posible ??

Maana nawajua watu kibao states mpaka leo...ni msoto tu. Watu wana hustle na kupiga mark time for years matunda hatuoni. I've been there i kno, there is no place better than home.

Watu wanabaki kuturushia ma photos insta tu. [emoji23][emoji23]
 
Watu wanabaki kuturushia ma photos insta tu. [emoji23][emoji23][/QUOTE

Unaishi wapi? Labda tuanzie hapa
 
If u don't mind....Can you please tell me, how is this all posible ??

Maana nawajua watu kibao states mpaka leo...ni msoto tu. Watu wana hustle na kupiga mark time for years matunda hatuoni. I've been there i kno, there is no place better than home.

Watu wanabaki kuturushia ma photos insta tu. [emoji23][emoji23]

Umesomea wapi?
Ulisomea nini?
Unafanya nini kwa sasa?

Go get good education with the right major from a good school
Stay away from trouble
Abide by the laws of Uncle Sam
Maintain a good credit
Network and strategize
Don't be lazy
Invest in yourself as much as you can
And the opportunities are plenty

Cc Kiranga
 
Halafu naona jamaa anakomaa na ma-engineers as If wanalipwa vizuri zaidi kuliko kada zingine! Average salary ya Engineer ni kama $67K kwa mwaka! Mtu mwenye BS ya nursing anakula mpaka $80K kwa mwaka! Maisha ya ughaibuni ukiwa na displine wala huwezi kujilaumu!
 
Hebu acha pumba ndugu...

Nimesema doctor or qualified engineer....kwani nani hajui nurses mbele wana earn a lot ?? Doctor na Nurse kwa uelewa wako nani zaidi ??

Otherwise hakuna mtu mbele anayeweza live the American dream kama sio mfanya biashara wa kueleweka ( ni ngumu still) au mwenye good science profession otherwise NO labda uuze unga.
 
Umesomea wapi?
Ulisomea nini?
Unafanya nini kwa sasa?

Go get good education with the right major from a good school
Stay away from trouble
Abide by the laws of Uncle Sam
Maintain a good credit
Network and strategize
Don't be lazy
Invest in yourself as much as you can
And the opportunities are plenty

Cc Kiranga
Invest in urself still utaangukia mule mule naposema mm.....nimeacha washkaji zangu wa naija london kibao tu wamesoma degree za accounting/business and now wame enroll nursing degrees (science fields or medical courses).....kuna vitu kama appretinceship....unavijua ??

Bana we danganya wengine....hamna kitu sikijui pande hzo. [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom