King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
zinauzwaje hizo dawa za erecto
Unakunywa sana michuzi ya pweza kijana
Siyo 20mlls , 50mils au 100mills bali ni 20mg, 50mg ama 100mg kwa sababu ziko kwenye muundo wa vidonge na siyo kimiminika
zinauzwaje hizo dawa za erecto
Usijaribu hizo dawa demu aridhishwi kwa kupiga masaa mawili bali demu anaridhishwa na pesa yako!! Achana nayo utakuja kufa watu wengi unaosikia wamekufa guest huwa wanakuwa wamekunywa hivo vidonge na kuwaletea complications!
Nakula pweza tu mchuzi nope!!
Kiukweli dawa hiyo inafanya kazi vyema sana, hasa jogoo kuwa standby muda mrefu, inafanya kazi baada ya dakika 15 toka kumeza, shida yake ni kuwa ukiizoea, mishipa ya chombo inakuwa tegemezi sana, na matokeo yake, inaweza kukufanya usiendeshe baiskeli bila kutegemea msaada wa erecto kitu ambacho ni hatari.
Katka michezo yangu ya ugenini nilitumia mara tatu hivi ili kujenga heshima, lakini kilichotokea baada ya kipindi fulani nilihisi hamasa kupotea na kudevelop utegemezi!
Nikarudi kwenye ushauri wa asili nikajenga stamina after that, ikarejea kwenye hali ya kawaida. Hivyo sikushauri ufanye mazoea ya kuiumia ila mara moja kwa miezi sita si mbaya.
Mhu iyo ni hatari zaidi, kichwa huwa kinauma sanaKunywa vega
wanajf ambao mmeshawahi kutumia vidonge hivyo, naomba kujua kutoka kwenu kwa maslahi ya wengi kama ni kweli unaweza kuchelewa kwa kutumia hizo.
Pili, haina madhara kwa afya?
Nilisikia tu kutoka kwa vijana waliokuwa wanaizungumzia kijiweni. Pia nimeileta hapa baada ya kuona post nyingi zinazohusiana na matatizo ya nguvu za kiume hivyo kama kuna wazoefu wanaweza kushauri iwe sehemu ya suluhisho kama kweli zina uwezo huo.
na pia amna 20mg bali kuna 25 mg 50 mg na kitu cha 100mg
Umesahau madhara mengine ni macho kua mekundu sana kama vile umevuta bangiBaadhi ya madhara ya dawa za kuongeza nguvu za kiume ni kuumwa na kichwa, kuharisha, kichefuchefu na kizunguzungu.
Watumiaji chache wanakabiliwa na madhara haya.
Madhara haya ni kawaida kwa watu wale ambao hubadili dawa mara kwa mara bila kufuata ushauri wa daktari.
Mkuu najanga hiyo dawa ya DRC haina madhara na ukitumia kuzidi kipimo inakuwaje?na je unajua kwa kuipata?shuda yote ya nini mkuu, kuna dawa ya miti shamba inatokea drc inaitwa kasongo, uo ni mti tu umesagwa then ukawa unga, unapaka tu kwa mzee alaf unakaa kama nusu saa, ingia kwenye mechi sasa, utaona muziki wake.
Mkuu najanga hiyo dawa ya DRC haina madhara na ukitumia kuzidi kipimo inakuwaje?na je unajua kwa kuipata?
Nitafute mkuuMkuu najanga hiyo dawa ya DRC haina madhara na ukitumia kuzidi kipimo inakuwaje?na je unajua kwa kuipata?