Dawa ya erecto - 20mill, 50mill na 100mill, je zinachelewesha kufika haraka?

Dawa ya erecto - 20mill, 50mill na 100mill, je zinachelewesha kufika haraka?

zinauzwaje hizo dawa za erecto

Usijaribu hizo dawa demu haridhishwi kwa kupiga masaa mawili bali demu anaridhishwa na pesa yako!! Achana nayo utakuja kufa watu wengi unaosikia wamekufa guest huwa wanakuwa wamekunywa hivo vidonge na kuwaletea complications!
 
Usijaribu hizo dawa demu aridhishwi kwa kupiga masaa mawili bali demu anaridhishwa na pesa yako!! Achana nayo utakuja kufa watu wengi unaosikia wamekufa guest huwa wanakuwa wamekunywa hivo vidonge na kuwaletea complications!

Ha ha ha ha ha haya kaka lakini hao wengi waliosepa ni wenye matatizo ya presha mi sina hilo halafu ni mtu wa tizi
 
Kiukweli dawa hiyo inafanya kazi vyema sana, hasa jogoo kuwa standby muda mrefu, inafanya kazi baada ya dakika 15 toka kumeza, shida yake ni kuwa ukiizoea, mishipa ya chombo inakuwa tegemezi sana, na matokeo yake, inaweza kukufanya usiendeshe baiskeli bila kutegemea msaada wa erecto kitu ambacho ni hatari.

Katka michezo yangu ya ugenini nilitumia mara tatu hivi ili kujenga heshima, lakini kilichotokea baada ya kipindi fulani nilihisi hamasa kupotea na kudevelop utegemezi!

Nikarudi kwenye ushauri wa asili nikajenga stamina after that, ikarejea kwenye hali ya kawaida. Hivyo sikushauri ufanye mazoea ya kuiumia ila mara moja kwa miezi sita si mbaya.

shuda yote ya nini mkuu, kuna dawa ya miti shamba inatokea drc inaitwa kasongo, uo ni mti tu umesagwa then ukawa unga, unapaka tu kwa mzee alaf unakaa kama nusu saa, ingia kwenye mechi sasa, utaona muziki wake.
 
wanajf ambao mmeshawahi kutumia vidonge hivyo, naomba kujua kutoka kwenu kwa maslahi ya wengi kama ni kweli unaweza kuchelewa kwa kutumia hizo.

Pili, haina madhara kwa afya?

Nilisikia tu kutoka kwa vijana waliokuwa wanaizungumzia kijiweni. Pia nimeileta hapa baada ya kuona post nyingi zinazohusiana na matatizo ya nguvu za kiume hivyo kama kuna wazoefu wanaweza kushauri iwe sehemu ya suluhisho kama kweli zina uwezo huo.

promo promo promo....
 
Kuna tofauti kati ya sidenafill na tadenafill? Composition zake zikoje na zinakuwa prescribed vip?

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Baadhi ya madhara ya dawa za kuongeza nguvu za kiume ni kuumwa na kichwa, kuharisha, kichefuchefu na kizunguzungu.

Watumiaji chache wanakabiliwa na madhara haya.

Madhara haya ni kawaida kwa watu wale ambao hubadili dawa mara kwa mara bila kufuata ushauri wa daktari.
Umesahau madhara mengine ni macho kua mekundu sana kama vile umevuta bangi
 
Niliwahi kumeza flagy nilipokuwa naumwa na tumbo kilichonitokea kwenye mechi nilishangaa.nayo inachelewehsa balaa.sasa sijui madhara yake.
 
shuda yote ya nini mkuu, kuna dawa ya miti shamba inatokea drc inaitwa kasongo, uo ni mti tu umesagwa then ukawa unga, unapaka tu kwa mzee alaf unakaa kama nusu saa, ingia kwenye mechi sasa, utaona muziki wake.
Mkuu najanga hiyo dawa ya DRC haina madhara na ukitumia kuzidi kipimo inakuwaje?na je unajua kwa kuipata?
 
Back
Top Bottom