FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,050
- 2,651
Power safe ameshadugwa Mkuu na sukari hana piaKama hana kisukari Adungwe sindano ya power safe kwa siku 30 ila avumilie hayo maumivu makali ya hiyo dawa anapodungwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Biospy bado Mkuu ndo kipimo kilichobaki kwasasa.Biopsy imeshachukuliwa?.wajaribu ku rule out uwezekano wa kansa.
Pole kwa mgonjwa na familia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinafanyiwa dressing how often?
Anafanyiwa dressing kila baada siku moja na tunatumia yuso.Kinafanyiwa dressing how often?
Dressing inafanyika kwa kutumia nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kienyiji tumeshaenda tupigwa kama laki sita na nusu kidonda kipo pale pale,kwanza kwa waganga ndo kinatota kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana. Achana na yuso inachimba. Siku hizi kidonda wanatumia maji ya drip kuoshea vidonda .
Pamoja bro Jr.Sishauri kabisa mwende huko.. Ngoja tuendelee kutafuta solution.. Tuko pamoja usijali
Jr[emoji769]
Drip aina gani kaka?Pole sana. Achana na yuso inachimba. Siku hizi kidonda wanatumia maji ya drip kuoshea vidonda .
Ukienda hosp watakuelekeza kwanza. Yaani hiyo ni kiboko. Uko Mkoa gani? Kama ni DSM nikuagizie hospitali ujaribu.
Nipo arusha mkuuUkienda hosp watakuelekeza kwanza. Yaani hiyo ni kiboko. Uko Mkoa gani? Kama ni DSM nikuagizie hospitali ujaribu.
Asante kaka kwa ushauri wako,ila kwa upande huo ameshazunguka takribani miaka miwili kwa waganga wa kienyeji bila mafanikio.Angalieni na mila za kwenu. Dada yangu alipata kidonda mwaka mzima hakiponi baadae kufatilia kienyeji, akafanyiwa mila. Siku mila imefanyika na kidonda kikaanza kufunga siku tatu ikabaki ka kovu ka dogo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Anyway it depends na hospital na utaratibu wao.
Kuna vitu vingine unakuta ni kwa sababu mtu hakupata matibabu sahihi kwa tatizo lake ndio maana haponi haraka.Angalieni na mila za kwenu. Dada yangu alipata kidonda mwaka mzima hakiponi baadae kufatilia kienyeji, akafanyiwa mila. Siku mila imefanyika na kidonda kikaanza kufunga siku tatu ikabaki ka kovu ka dogo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Na afanyiwe pus swab for culture and sensitivity kujua ni wadudu gani wapo hapo