Dawa ya kidonda sugu

Dawa ya kidonda sugu

Angalieni na mila za kwenu. Dada yangu alipata kidonda mwaka mzima hakiponi baadae kufatilia kienyeji, akafanyiwa mila. Siku mila imefanyika na kidonda kikaanza kufunga siku tatu ikabaki ka kovu ka dogo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kaka kwa ushauri wako,ila kwa upande huo ameshazunguka takribani miaka miwili kwa waganga wa kienyeji bila mafanikio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro nakupa jibu amini hili ni sahihi kwa mtazamo wangu, hicho kipande cha chama ambacho hakioti ni alama aliyowekwa na wachawi kwa lugha rahisi na nyepesi amechaguliwa kutolewa sadaka,hivyo anaendelea kuishi kwa sababu Ulinzi mkubwa wa Mungu,Ana majini,pengine wakti unasubiriwa ili atolewe kafara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anafanyiwa dressing kila baada siku moja na tunatumia yuso.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anyway it depends na hospital na utaratibu wao.

Kwa mimi nimeona vidonda kama hivyo vikidressiwa na asali, au dawa nyingine yoyote yenye component ya asali ndani yake mfano ampucare naona huwa inasaidia kuimprove granulation na kidonda kinakuja kupona.

Ila nikuhakikishie sio leo wala kesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bmkubwa wangu ana dawa ya hyo kitu aisee asha saidia weng sana, ila kwa sasa jarbu kutumia sukar kwanza, isage iwe lain kama unga wa ngano ( jinsi ya kusaga unaweza tumia chupa ya soda, unaweka sukar kias kwenye meza safi alafu unai saga na hyo chupa, fanya kama vile unasukuma chapati) afu unga una upaka kwenye kidonda kutwa mara tatu, jarbu kwa siku angalau tano mfululizo.

Ikishindikana nichek nikuunganishe na bimkubwa. Ila na uhakika kama ni kidonda tu kidonda sukar itakusaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalieni na mila za kwenu. Dada yangu alipata kidonda mwaka mzima hakiponi baadae kufatilia kienyeji, akafanyiwa mila. Siku mila imefanyika na kidonda kikaanza kufunga siku tatu ikabaki ka kovu ka dogo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna vitu vingine unakuta ni kwa sababu mtu hakupata matibabu sahihi kwa tatizo lake ndio maana haponi haraka.

Sio kila kitu kina spiritual connection

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom