Elly official
JF-Expert Member
- Sep 16, 2018
- 730
- 989
Yuso tuu Mkuu ,dawa hatuweki tena tushaweka mpaka za kutoka China lakini hatujafanikiwa na vipimo tumefanya vyote isipokuwa cha cancer tuuKinafanyiwa dressing how often?
Dressing inafanyika kwa kutumia nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini suluhisho la tatizo?Bro nakupa jibu amini hili ni sahihi kwa mtazamo wangu,hicho kipande cha chama ambacho hakioti ni alama aliyowekwa na wachawi kwa lugha rahisi na nyepesi amechaguliwa kutolewa sadaka,hivyo anaendelea kuishi kwa sababu Ulinzi mkubwa wa Mungu,Ana majini,pengine wakti unasubiriwa ili atolewe kafara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anayeumwa ni wife kabisa Mkuu,na hapa nishauza mpaka Nyumba,viwanja,mpaka vitu vya ndani kwaajili ya matibabu bila mafanikioIkiwa Si kafara Ni utajiri was kishirikina tunaita(NDAGU) baada ya muda utaona atakavyotiririka na mafanikio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa ndugu vitu vingine tunavikosea wenyewe alafu tunanza kutafuta mchawiKuna vitu vingine unakuta ni kwa sababu mtu hakupata matibabu sahihi kwa tatizo lake ndio maana haponi haraka.
Sio kila kitu kina spiritual connection
Sent using Jamii Forums mobile app
Alipata ajali akapata mchubukoDukani
Kidonda kilianzaje?
Kuna magonjwa mengine sugu yanayomsumbua mgonjwa kama BP?
Chakula anapata balanced diet?
Usiuze tena vitu vyako,utakua hasara,mkimbilie Mungu ndiye mponyaji ,jaribu kuchunguza kwa mkeo utakuta either upande mmoja wa wazazi wanakufa mno.
Hiki kidonda ni kizuri kina matumaini ya kupona.
ndio Ila baba baba yake alishafariki, mama yake yupo Ila inasemekana ni mchawi japokuwa sitaki kuamini hilo sana.Kuna mambo ya Mila hapo tafuta wazee wa ukoo tofauti na hapo utapona...
Mwenye hicho kidonda anawafahamu wazazi wake wote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala sina cha kuuza tena mkuu nishauza kila kitu miaka mitano siyo mchezo.Usiuze tena vitu vyako,utakua hasara,mkimbilie Mungu ndiye mponyaji ,jaribu kuchunguza kwa mkeo utakuta either upande mmoja wa wazazi wanakufa mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
wakaribishwa
Nipo arusha mkuu
Hakuna tatizo wewe nenda naye hosp waambie kuosha kidonda ni maji ya drip. Usitumie Eusol tafadhali. Kidonda nakiona kibichi hivyo Iodine bado ni dawa pamoja na za kukausha atameza. Maelezo mengine kama tulivyoongea PM.
Sent using Jamii Forums mobile app