Dawa ya kidonda sugu

Dawa ya kidonda sugu

Bro nakupa jibu amini hili ni sahihi kwa mtazamo wangu,hicho kipande cha chama ambacho hakioti ni alama aliyowekwa na wachawi kwa lugha rahisi na nyepesi amechaguliwa kutolewa sadaka,hivyo anaendelea kuishi kwa sababu Ulinzi mkubwa wa Mungu,Ana majini,pengine wakti unasubiriwa ili atolewe kafara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nini suluhisho la tatizo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dukani
Kidonda kilianzaje?
Kuna magonjwa mengine sugu yanayomsumbua mgonjwa kama BP?
Chakula anapata balanced diet?
 
Alipata ajali akapata mchubuko

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki kidonda ni kizuri kina matumaini ya kupona.

Kwanza zingatia sana chakula cha mgonjwa, immune system inajengwa na chakula bora hasa nyama. Mboga, matunda na nafaka pia ni muhimu.

Kama ataweza kutokitia maji au kidonda kioshwe mara akimaliza kuoga.

Kuosha kidonda: hakikisha unazingatia usafi.
Chemsha nusu litre ya maji, yakiwa yanachemka weka chumvi 1/2 ya kijiko cha chai.

Taarisha bakuli, weka maji yaliyochemka na uweke vipande vya pamba au gauze hii utaipata pharmacy.

Acha maji kwa nusu saa mpaka yapoe. OSHA mikono yako na kisha chuku a pamba usafishe kidona. Pamba uliyosafishia weka kwenye mfuko wa uchafu.

Funika kidonda kwa plasta au bandage. Hivi utanunua pharmarcy. Kama utaweza kupata bandage za silver ni nzuri. Kipe kidonda nafasi ya kupona unaweza kusafisha kila baada ya siku moja. Kikiwa kinatoa maji mengi itabidi usafishe kila siku.

Ukiona dalili za usaha nendeni kwa daktari.
 
Aisee..
Nimejaribu kuvaa viatu vyake [emoji26].
Pole kwa mgonjwa.

Ushauri wangu aendelee kutibiwa hospital pia kuomba Sana MUNGU.
Yeye binafsi amuombe MUNGU,pia aombewe Na watumishi mbalimbali.
Napendekeza angewaona watumishi wenye huduma ya kinabii .[emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom