[QUOTE="Dukani, post:
Usaha ukitokea baada ya wiki ya kwanza ni dalili za kupona, osha na uendelee na matibabu. Usage ukija na harufu si dalili nzuri, daktari anaweza kuwapa dawa za kunywa.
Ndagu ya aina gani mkuu? Kwasababu Kama ni hela sina nimeuza nyumba, viwanja, mpaka vitu vya ndani kwaajili ya matibabu tuu. Kuna ndagu ya kukufanya uwe maskini?
Tatizo lipo hapa... Ni mambo ya kimila zaidi hata atumie dawa gani hatoponandio Ila baba baba yake alishafariki, mama yake yupo Ila inasemekana ni mchawi japokuwa sitaki kuamini hilo sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshampa jibu hapo juu,mkewe anatakiwa kufa atake asitake.Tatizo lipo hapa... Ni mambo ya kimila zaidi hata atumie dawa gani hatopona
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona umenitisha na comment yako hii[emoji115] [emoji115] [emoji115]
"Lakini kila nafsi itaonja mauti hajalishi umeumwa au hajaumwa"Mkuu mbona umenitisha na comment yako hii[emoji115] [emoji115] [emoji115]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu ntajaribuPoleni sana, Jaribu hii dawa pia ni majani flani hata mtaani unaweza ukayapata yanakua na vimiba vidogo vidogo.
Yachume kisha yatwangwe/saga kisha weka kwenye kidonda.
Ina saidia sana kufunga kidonda.View attachment 1294067
Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni sana, Jaribu hii dawa pia ni majani flani hata mtaani unaweza ukayapata yanakua na vimiba vidogo vidogo.
Yachume kisha yatwangwe/saga kisha weka kwenye kidonda.
Ina saidia sana kufunga kidonda.View attachment 1294067
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni dawa nzuri ya vidonda natumai myoa mada ataitafuta na itamsaidia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa makini Sana. Unaweza kujaribu vitu ambavyo vikaongeza vitu vingine kwenye kidonda na Hali kuwa mbaya zaidi. Akili ya kuambiwa.... Changanya na ya kwako.
Kwa mateso aliyopata miaka mitano siyo mchezo angesema tungemlipia tuu.alikula au kuharibu cha mtu mkuu