Kawaida ya mafua ni siku 3, yanatakiwa yaondoke yenyewe.Hii ni dawa ya Asili(dawa ya kienyeji)
Mtoto mchanga kama ana mafua au amevuta maji wakati wa kujifungua hivyo akashindwa kupumua.
Fanya kitu kimoja:
Tafuta kondoo, mshikilie huyo kisha mpandishe mtoto huyo ukiwa umemshikilia mtoto
Kisha mtembeze huyo kondoo kidogo tu huku umeshikilia mtoto akiwa mgongoni mwake
kisha mshushe mtoto acha kondoo aondoke
Baada ya wiki utaona mafua yamepona na hayatokaa yamrudie (mafua yasiyopona)
Uchawi ndo huu Sasa...Huu sio uchawi?
Tatizo sayansi hii ya kichawi Haina maendeleo, ni Umasikini tuAiseee waafrica sayansi yetu tukiifanya official tutafika mbali sana
Hujawahi ambiwa ukiamka kabla hujaongea na mtu chekea kinu? Kwa wale waliokwisha pata ile kimtoto cha jicho sijui nnAcha kufundisha watu uchawi, alafu ukimaliza hapo mtoto mshampa uchawi...
YaaanAiseee waafrica sayansi yetu tukiifanya official tutafika mbali sana
🤣🤣🤣🤣 Umenichekesha sana D,,yaani tuna vi mambo vya ajabu ajabuYaaan
Mara wenye vikwapa waogee maji ya ukoko wa ugali
Ooh my pipo kantriiiii 🤣
Tatizo ni hapo kwenye uchawiTatizo sayansi hii ya kichawi Haina maendeleo, ni Umasikini tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] My kantrii tanzagizaYaaan
Mara wenye vikwapa waogee maji ya ukoko wa ugali
Ooh my pipo kantriiiii [emoji1787]