Pole mkuu, okay,
Kwa vidonda vya tumbo:
Kunywa maji ml 500 kila nusu saa kabla ya kula chakula cha asubuhi, mchana na jioni, kisha unahesabu masaa 2 baada ya kila mlo na unywe maji tena ml 500.
NINI HUSABABISHA VIDONDA VYA TUMBO?:
Unapokaribia kutaka kula chakula chochote, au ukiwaza kutaka kula au ukiuona tu msosi kwa macho,
TUMBONI MWAKO HUZARISHWA KITU KINAITWA "haidrokloriki asidi" ambayo huuandaa na kuusaidia mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ufanye kazi zake vizuri.
HAIDROKLORIKI ASIDI hii ni lazima ipunguzwe makali (must be neutralized) kabla hujaanza kula chakula.
INAPUNGUZWAJE MAKALI?:
Kwa kunywa maji nusu saa kabla ya kula chakula.
KAMA HAITAPUNGUZWA MAKALI, ASIDI HIYO HUENDA KUTOBOA KUTA ZA TUMBO na hatimaye taratibu baadaye hukusababishia
VIDONDA VYA TUMBO.
Kwa upande wa kitambi:
Bonyeza hizi link 2 ukazisome zote vizuri:
a)
http://maajabuyamaji.net/2012/11/08/uzito-na-unene-kupita-kiasi/#.UKEO87HR7Ic
b)
http://maajabuyamaji.net/2012/10/01/mazoezi/
Kisha unipe feedback