Rubi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2009
- 1,615
- 331
hahaha umenichekesha sasa wewe vipi hauna kitambi maana kama nyote mnavyo shughuli inakuwa pevu kunako.wandugu msaada,mke wangu ana kitambi mpaka namuogopa,je akiwa mjamzito si kitaburuza chin,msaada jamani afanyeje kiondoke kabisa kama si kupungua
ila mwambie ajaribu pia kutumia juisi ya celeli. achuchukue majani yake asage, achanganye na ndimu/limao mbili na punje tatu va vitunguu swaumu, angalau kila siku apate glass moja asubuhi, mchana na jioni anaweza kuongeza kijiko cha asali akipenda. Juisi hii ni nzuri zaidi ya kupuguza unene pia inaondoa sumu mwilini na kusaidia kibofu cha mchojo hasa wale waosumbulia na UTI za mara kwa mara..
Asione uvivu kutengeneza.