Dawa ya kitambi hii hapa

Dawa ya kitambi hii hapa

wandugu msaada,mke wangu ana kitambi mpaka namuogopa,je akiwa mjamzito si kitaburuza chin,msaada jamani afanyeje kiondoke kabisa kama si kupungua
hahaha umenichekesha sasa wewe vipi hauna kitambi maana kama nyote mnavyo shughuli inakuwa pevu kunako.

ila mwambie ajaribu pia kutumia juisi ya celeli. achuchukue majani yake asage, achanganye na ndimu/limao mbili na punje tatu va vitunguu swaumu, angalau kila siku apate glass moja asubuhi, mchana na jioni anaweza kuongeza kijiko cha asali akipenda. Juisi hii ni nzuri zaidi ya kupuguza unene pia inaondoa sumu mwilini na kusaidia kibofu cha mchojo hasa wale waosumbulia na UTI za mara kwa mara..

Asione uvivu kutengeneza.
 
wandugu msaada,mke wangu ana kitambi mpaka namuogopa,je akiwa mjamzito si kitaburuza chin,msaada jamani afanyeje kiondoke kabisa kama si kupungua
Hata mimi mwanamke mwenye kitambi simfagilii,wangu anacho lakini cha mbali ila nampondea kila siku naona anaona noma flani kwahiyo anajaribu ku-maintain.
 
CLEAN AND LEAN is a 9 day programe for weight reduction in which you can loose 2 to 4 kgs in only 9days.Its a fantastic programme with no side effects and is also maintains good cardiovascular health.for free consultation contact 0752720276.
 
hahaha umenichekesha sasa wewe vipi hauna kitambi maana kama nyote mnavyo shughuli inakuwa pevu kunako.

ila mwambie ajaribu pia kutumia juisi ya celeli. achuchukue majani yake asage, achanganye na ndimu/limao mbili na punje tatu va vitunguu swaumu, angalau kila siku apate glass moja asubuhi, mchana na jioni anaweza kuongeza kijiko cha asali akipenda. Juisi hii ni nzuri zaidi ya kupuguza unene pia inaondoa sumu mwilini na kusaidia kibofu cha mchojo hasa wale waosumbulia na UTI za mara kwa mara..

Asione uvivu kutengeneza.

Celeli ni nini mkuu???
 
Aaache kula vyakula vyenye mafuta, apunguze sana au aache kunywa bia kama ni mnywaji, aache kula kuku wa kisasa na mayai ya kisasa(huwa si wazuri kiafya na husababisha mambo kama hayo, hivyo inabidi ale kuku wa kienyeji akiweza)

Afanye mazoezi(hapa ngoja nifafanue)

Inapozungumziwa juu ya mazoezi watu wengi wanahisi ni mazoezi makali labda na hivyo huogopa hili!

Lakini si kweli, mazoezi ni ya kawaida kabisa na huendana na mtu mwenyewe, kwa mfano mtu mwenye kitambi, kuna mazoezi maalum ya mwili hasa ya tumbo na unaweka mda kwa siku labda asubuhi na jioni. Wengine hutumia mikanda ya tumbo nayo husaidia.
 
ninataka nisile chakula chochote siku nne bali ninywe maji tu nitafanikiwa?
 
Hautafanikiwa na kama ukiweza basi mwili wako utakua dhaifu sana.
Njia pekee ya kupunguza mwili ni mazoezi ya viungo na kuepuka vyakula vya mafuta na sukari nyingi
 
Nilikuwa na dalili zote za manyama uzembe, nikipiga mswaki tumbo linatikisika kutu kutu kutu nikaona shida!

Nikapunguza bajeti za kwenda kwenye viti virefu na yule mdudu walau kwa mwezi mara moja au mbili tu. Pia Nikasahau mlo wa asubuhi kabisa, mchana napata sles mbili za mkate na soda, ila maji nikawa nakunywa sana full chakula ni usiku tu tena saa moja au mbili.

Baada ya miezi minne, minyama kwishney na karatiba naendelea nako!
 
Njia rahisi yakupungua ni kuepeka kula vyakula vyenye fats, Carbohydrate na sugar... kuna diet ya chakula ambayo inafanya kazi sana ya fruits tu.... for weeks... maji ya mdalasini, matango yaliyoloekwa kwenye maji, green corns, nyama hairuhusiwi... ni diet ya some weeks inakata weight sana....

ukiitumia bila kukatisha route matokei utaona....ukinywa chai unaweka asali....maji kwa siku should be more than 5 lts (yale ya mdalasini yaliyochemshwa na yakapoa....yanaweza kuwa baridi hamna tatizo)
 
Ukishafanya yote hayo then usipungue nitafute hicho kitambi kitakwishiney.
 
Hapana hutofanikiwa ukiacha kula na kunywa maji utakapoanza kula kawaida tu mwili utarudi na ni hatari kukaa bila kula ubongo wako unahitaji energy na inapatikana kupitia kwenye milo(glucose)!Njia ya kupunguza mwili ni kula vyakula healthy navyo ni mboga mboga,matunda na protein.Epuka kutumia mafuta na vyakula vyenye carbohydrates nyingi na starch.Jitume fanya mazoezi anza na mazoezi mepesi tu mwanzoni kisha uzito ukikaa sawa unaweza kufanya mazoezi ya misuli.Na ukifanya hivo sio kwaajili ya kupunguza mafuta tu bali pia utajenga misuli na utapunguza cholesterol ambayo si nzuri ikiwa juu kwa moyo wako na viungo vingine muhimu.Kumbuka ukiwa na kitambi maanake mafuta yametawala kwenye viungo vyote muhimu vya mwili wako kama moyo,maini,mafigo n.k
 
Jogging ya wiki 3-4 itakupa majibu mazuri. Kimbia km.5 kila siku asubuh na jioni
 
Na uzingatie kwenye mlo wa usiku, kula mapema ikiwezekana saa 12 jioni uwe umeshakula Dinner.
 
Nilikuwa na dalili zote za manyama uzembe, nikipiga mswaki tumbo linatikisika kutu kutu kutu nikaona shida!

Nikapunguza bajeti za kwenda kwenye viti virefu na yule mdudu walau kwa mwezi mara moja au mbili tu. Pia Nikasahau mlo wa asubuhi kabisa, mchana napata sles mbili za mkate na soda, ila maji nikawa nakunywa sana full chakula ni usiku tu tena saa moja au mbili.

Baada ya miezi minne, minyama kwishney na karatiba naendelea nako!

Ndio maana panya road wanawakimbiza silesi mbili na soda imeisha siku.

hata kwa makobola ya nuclear siwezi.
 
ninataka nisile chakula chochote siku nne bali ninywe maji tu nitafanikiwa?

Utafanikiwa, ila mpango wako wa kuacha kula siku nne utakuletea tatizo la kunuka mdomo
 
Nilikuwa na dalili zote za manyama uzembe, nikipiga mswaki tumbo linatikisika kutu kutu kutu nikaona shida!

Nikapunguza bajeti za kwenda kwenye viti virefu na yule mdudu walau kwa mwezi mara moja au mbili tu. Pia Nikasahau mlo wa asubuhi kabisa, mchana napata sles mbili za mkate na soda, ila maji nikawa nakunywa sana full chakula ni usiku tu tena saa moja au mbili.

Baada ya miezi minne, minyama kwishney na karatiba naendelea nako!
Soda?bado hujatatua tatizo
 
Back
Top Bottom