Dawa ya kitambi hii hapa

Dawa ya kitambi hii hapa

Mkuu kafara Mimi Nina group O sasa nikiepuka mkate na ndizi mbivu nitasaidika kupunguza unene/kitambi? Hata kama sifungi.
 
Pole sana ndugu! Kama bado hujapata ufumbuzi nitafute kwa simu 0763797853/0787826454
 
Clean 9 pack zipo vinzuri, try them they will help
 
Hello friends in the world, I love you so much........To day I have good news for you.....SLIM & TRIM, We provide products that can make you loss Body weight and have Strong Health, Here are some of our products we have for Body Slimming and Trimming.....
1. SLIMMING CAPSULES.....This product has the following functions in your body which are; (A ). Accelerates Metabolism rate to increase the burning of the fat as fuel and the degradation of fat in the body..
(B ). Decreases the intake of calories by regulating food intake..
(C ). With it's natural floral formula it helps lose weight safety and steadily rebound and generation of wrinkles.
(D ). Duel roles in weight loss and beautification

2. CHITOSAN, Chitosan has the following functions in the body....which are; (A ). Reduces blood lipids; helps weight loss.
(B ). Reduces blood sugar.
(C ). Strengthens the functions of liver, prevents liver against damage of toxins
(D ). Promotes healing of gastric ulcer

3. PRO-SLIM TEA, Pro Slim Tea is found in form of tea, packed in a small Tea Bags, it has the following functions in the body such as; (A ). Accelerates metabolism and degradation of fat, (B ). Burns fat as fuel to reduce the lipids content of the body. (C ). Reduces absorption of dietary fat and helps lose weight.

4. CALCIUM, Calcium has the following functions; (A ). People who are unable to meet the calcium daily intake allowance from their diet.
(B ). People with calcium deficiency.
(C ). Females during pregnancy or lactation.
(D ). Postmenopausal females.
(E ). Seniors with insufficient daily intake of calcium
For more details and counseling call me through 0654158574/0765353056
 
Nilikuwa na katambi.Bahati nzuri nilikutana na ustaadh mmoja toka morogoro.Tulikutana maeneo ya msikiti wa riadha hapa Moshi.akaniambie kitambi kwa mwanaume sio kizuri.Akanishauri nitumie mchanganyiko wa dawa za asili aina tatu.Sanamaki,Tangawizi na Zamda.Kwa kweli namshukuru sana Mungu ndani ya siku tatu nilianza kuona mabadiliko ktk tumbo langu na baadhi ya nguo zilizokuwa zinanibana kwa sasa nazivaa.

Msaafa mkuu, hizi dawa zinapatikana vipi na zinatumiwaje? Nitashukuru kwa jibu lako maana vitambi vinatuchefua wengi.
 
upload_2017-1-4_19-28-38.jpeg
Kitambi ni hali ya kiafya ya mtu mnene ambapo mafuta ya ziada mwilini huongezeka eneo la tumbo kwa kiasi kikubwa.

Mtu akiwa na kitambi anapata athari kubwa ikiwamo kupungua kwa umri. Katika karne hii, hili ni mojawapo ya tatizo kubwa la kiafya duniani. Hata hivyo, tatizo la kitambi kiafya linarekebishika.

Katika mawazo ya kizamani na hata sasa katika baadhi ya nchi mtu akiwa na kitambi anaonekana ni tajiri.

Tatizo la unene na vitambi litazidi kuongezeka ikiwa serikali, hususan wananchi wenyewe hawatachukua hatua za dharura na mipango madhubuti kulikabili. Tatizo hili limezidi kuwa kubwa kwa vijana wengi miaka ya hivi karibuni kwa sababu ya aina ya maisha wanayoishi (lifestyle), ambapo hula vyakula na vinywaji vyenye wanga kwa wingi (junk foods) kama vile chips, pizza, soda, bia na hawana muda wa kufanya mazoezi, na hata kufanya shughuli ambazo zitaushughulisha mwili (mazoezi, kutembea umbali mrefu, kukimbia,kubeba mizigo). Ukiwa na kitambi, maana yake ni kwamba, unakula chakula kingi mno kuliko mahitaji ya mwili wako, hivyo kupelekea chakula/nishati ambayo mwili wako hauhiitaji kubadilishwa na kuwekwa katika mafuta (fat), na kuhifadhiwa katika maeneo ya tumbo lako.

Vitambi vina madhara mbalimbali kiafya ikiwemo

1.Kuongeza uwezekano wa kupata magonjwa ya shinikizo la damu na magonjwa ya moyo- Tafiti zinaripoti kuwa, mtu mwenye kitambi, yuko kwenye uwezekano mkubwa zaidi wa kupata magonjwa ya moyo, mara 5-10 zaidi ya mtu asie na kitambi

2.Kuongeza uwezekano wa kupata magonjwa ya kisukari, saratani ya tumbo; watu wenye vitambi wana uwezekano mkubwa zaidi wa kupata ugonjwa wa kisukari kuliko wale wasio na vitambi.

3.Kupunguza uimara wa mwili (physical fitness), na kumfanya mtu awe mzembe; mtu mwenye kitambi hana uwezo mkubwa wa kuwa na mwili ambao ni imara, na wenye kuhimili shughuli zinazohitaji nguvu na pumzi kama vile kukimbia, na hivyo kumfanya awe mzembe na goigoi

Ili kuepukana na athari hiyo watu wahakikishe wanabadili namna wanavyoishi na milo yao. Wengi wana muda mchache sana wa kutayarisha vyakula visivyo na mafuta mengi majumbani mwao, hivyo wanakula nje zaidi, yaani kwenye hoteli na migahawa na matokeo yake ni kuwa na vitambi.

Kuna wengi wanatambua athari za tatizo la unene na vitambi, lakini hawafanyi chochote kulirekebisha, hii inatokana na ukweli kwamba idadi kubwa ya watu hawajui maana halisi ya kuwa na afya njema.

Watu wengi, hasa vijana wamekuzwa kwa kula chipsi, mikate na vyakula vya sukari,na si mbogamboga na matunda.

Ukweli ni kwamba watu wengi hawafanyi mazoezi ya kutosha kama ilivyokuwa zamani hivyo, watu wenye vitambi wanaongezeka kila sehemu.

Kwa ujumla, umri wa mtu mnene mwenye kitambi huwa pungufu kwa miaka 8 had 10 ukilinganisha na mtu mwenye umbo la kawaida.

MAGONJWA

Hii inatokana na ukweli kwamba uzito wa mtu husababisha magonjwa ya moyo, aina fulani ya kisukari, magonjwa ambayo huua mamilioni ya watu duniani kote. Kifupi ni kuwa ukiwa na mafuta mengi mno utakuwa kwenye hatari ya kukumbwa na magonjwa kama ya kupanda kwa presha, magonjwa ya moyo, kansa. Kuongeza uzito au kunenepa kunasababisha mwili ushindwe kupata sehemu ya kutosha ya kuhifadhi mafuta na hivyo kuanza kuyatunza mafuta hayo kwenye sehemu za ndani ya mwili, kuuzunguka moyo na ndipo matatizo yanapoanza.

USHAURI WA KUJIKINGA NA KITAMBI

1.Hakikisha unapata walau nusu saa kila siku ya kufanya mazoezi/kutembea umbali mrefu/kukimbia hadi utokwe na jasho; hii itakusaidia kuondoa mafuta ya ziada katika mwili wako

2.Punguza kwa kiasi kikubwa matumizi ya vyakula vyenye mafuta mengi kama vile chips, vyakula vya kukaanga; pia punguza matumizi ya sukari; na hakikisha katika mlo wako unakula matunda na mboga za majani kwa wingi (inashauriwa kuwa uwioano wa chakula cha wanga na mboga za majani/matunda uwe nusu kwa nusu katika kila mlo wako)

3.Achana na matumizi vinywaji vyenye sukari vya viwandani kama vile soda, pia epuka matumizi ya pombe hasa bia.

“Kitambi sio afya, ni dalili ya magonjwa, piga vita kitambi”
 
mwenye kujua mazoez ya kutoa/punguza ktambi ayaweke hapa
 
mwenye kujua mazoez ya kutoa/punguza ktambi ayaweke hapa
1. THE BICYCLE EXERCISE
Lala chali huku mikono yako ikiwa chini ya kichwa chako, leta magoti yako kifuani huku ukinyanyua mabega juu. Taratibu leta kiwiko chako cha kulia hadi kwenye goti la kushoto huku ukinyoosha mguu wako wa kulia. Badili na upande mwingine na ufanye kama unakanyaga pedeli za baiskeli. Fanya zoezi hili seti 1-3 kwa kurudia mara 12-16.

2. EXERCISE BALL CRUNCH
Katika zoezi hili mpira wa mazoezi ni lazima uwepo. Kufanya zoezi hili lala juu ya mpira huku sehemu ya chini ya mgongo ikiwa imeegama vizuri. Weka viganja vya mikono nyuma ya kichwa. Fanya zoezi hili seti 1-3 kwa kurudia mara 12-16.

3. VERTICAL LEG CRUNCH
Kufanya zoezi hili, lala kwenye sakafu nyoosha miguu, halafu kunja magoti, weka viganja vya mikono chini ya kichwa. Fanya zoezi hili seti 1-3 kwa kurudia mara 12-16.

4. LONG ARM CRUNCH
Kufanya zoezi hili, lala kwenye sakafu au mkeka halafu nyoosha mikono yako nyuma iwe karibu na masikio yako. Fanya zoezi hili seti 1-3 kwa kurudia mara 12-16.
Remote
 
Back
Top Bottom