Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliandika kwa kiluga changu, pole sana.??? Nimeshindwa kuelewa.
Niliandika kwa kiluga changu, pole sana.
kula Karanga za kukaanga.
mpya yanaukweli hayo.kiungulia ni dalili kuu ya ugonjwa hatari wa vidonda vya tumbo
Nunua Omeprazole; atumie capsule 1 kila siku.Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Jaman wanajamvi naomba mnisaidie kuniambia dawa ya Kiungulia hii kitu inanitesa sana kwa kweli.
Kiungulia inatokana na tindikali iliyopo tumboni, kupanda kwenye koo la chakula.
Kupanda kwa tindikali hiyo, kunamaana kwamba, uzalishwaji wake ni mwingi kupita kiasi; au kunavyakula hasa vya mafuta vimesababisha tindikali ipande juu.
Ili kupunguza/kuzuia tatizo hili; inakupasa:
1. Kupunguza ulaji wa vyakula vya mafuta kwa kiwango kikubwa.
2. Punguza kiwango cha vyakula vyenye makoti magumu, kama maharagwe.
3. Pendelea kula vyakula vya moto moto.
4. Tafuta antiacids tablets au kula majivu.
DAWA YA KIUNGULIA::
TIBA;:
Changanya glasi moja (250ml) ya maziwa na kijiko kikubwa 10ml) cha mafuta ya habat soda.
Kunywa mchanganyiko huu na urudie kutwa mara tatu (1×3) kwa muda wa siku 5. tumia kisha uje unipe feedback
![]()
Nigella Sativa oil au Black seed Oil ;Mafuta ya Habat Soda yanapatikana mjini Dar kwenye Maduka ya wauza Dawa za Kisunna Karibu na sokoni Kariakoo..............Kaulize utapata huko.Au Uliza kwenya Ma-Super Market Makubwa yaliyopo mjini Dares-Salaam.
Tumia Aloe Vera Juice ya Forever Living Products ni
How to Completely Cure GERD and Heartburn - YouTube