Dawa ya kiungulia nini?

Dawa ya kiungulia nini?

Ni magadi. ww kunywa tu karobo glass kwishnei.
 
Nashuku wapendwa Mungu awabariki kwa Majibu yenu mazuri

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
kiungulia ni dalili kuu ya ugonjwa hatari wa vidonda vya tumbo
 
Kijiko kimoja cha sukari kinatuliza chatosha kupooza. Maumivu yakizidi muone daktari.
 
kiungulia ni dalili kuu ya ugonjwa hatari wa vidonda vya tumbo
mpya yanaukweli hayo.
dalili ni nini? ni kuwa umeshaathirika na ugonjwa wa vidonda vya tumbo au? maana uwa napata kiungulia siku moja moja nikila viazi vitamu bt sichagui vyakula kama mgonjwa wa vidonda vya tumbo au ndio ntaugua siku za usoni?
Je kama ntaugua siku za usoni kinga yake ni nini?
 
Mkuu.@eliezar mlwafu DAWA YA KIUNGULIA::

TIBA;:
Changanya glasi moja (250ml) ya maziwa na kijiko kikubwa 10ml) cha mafuta ya habat soda.
Kunywa mchanganyiko huu na urudie kutwa mara tatu (1×3) kwa muda wa siku 5. tumia kisha uje unipe feedback

264px-Nigella_sativa_oil.jpg

Nigella Sativa oil au Black seed Oil ;Mafuta ya Habat Soda yanapatikana mjini Dar kwenye Maduka ya wauza Dawa za Kienyeji Karibu na sokoni Kariakoo..............Kaulize utapata huko.Au Uliza kwenya Ma-Super Market Makubwa yaliyopo mjini Dares-Salaam.
 
nimesumbuliwa sana na kiungulia, nakushauri tafuta dawa hizi ZAPACID kunywa kidoge kimoja asubuhi kabla ya kula kitu. njoo kesho kutwa hapa kama utalalamika kiungulia. nasisitiza kabla ya kula chochote asubuhi.
 
Jaman wanajamvi naomba mnisaidie kuniambia dawa ya Kiungulia hii kitu inanitesa sana kwa kweli.
 
Kiungulia inatokana na tindikali iliyopo tumboni, kupanda kwenye koo la chakula.

Kupanda kwa tindikali hiyo, kunamaana kwamba, uzalishwaji wake ni mwingi kupita kiasi; au kunavyakula hasa vya mafuta vimesababisha tindikali ipande juu.

Ili kupunguza/kuzuia tatizo hili; inakupasa:

1. Kupunguza ulaji wa vyakula vya mafuta kwa kiwango kikubwa.

2. Punguza kiwango cha vyakula vyenye makoti magumu, kama maharagwe.

3. Pendelea kula vyakula vya moto moto.

4. Tafuta antiacids tablets au kula majivu.
 
DAWA YA KIUNGULIA::

TIBA;:
Changanya glasi moja (250ml) ya maziwa na kijiko kikubwa 10ml) cha mafuta ya habat soda.
Kunywa mchanganyiko huu na urudie kutwa mara tatu (1×3) kwa muda wa siku 5. tumia kisha uje unipe feedback

264px-Nigella_sativa_oil.jpg

Nigella Sativa oil au Black seed Oil ;Mafuta ya Habat Soda yanapatikana mjini Dar kwenye Maduka ya wauza Dawa za Kisunna Karibu na sokoni Kariakoo..............Kaulize utapata huko.Au Uliza kwenya Ma-Super Market Makubwa yaliyopo mjini Dares-Salaam.
 
Shukrani best nitajitahid
 
Asante sana nitaitafuta
 
Back
Top Bottom