Nina tatizo sugu ila nahisi sio peke yangu, nilisikiliza comedy moja ya black america yule aliepigwa kofi na Wily Smith, alisema usisikie sijui unaweza kunyuri mara mbili au tatu, alidai hayo ni maneno ya kupeana moyo tu, ukishapiga goli moja ndio imetoka, kuendelea na game ni kutafuta kuadhirika, alimalizia kwa msemo huo.
Sasa zipo dawa za kuondoa tatizo hili labda lifike lisaa na nusu au zaidi? Njia yangu kuu kila dizaini huisabu mara mia tatu kisha nabadilisha, ndio angalau ninachukua muda mrefu.
Kama si hivyo nikiguswa tu nishavuruga.