Dawa ya kuchelewa kunyuri

Dawa ya kuchelewa kunyuri

Nina tatizo sugu ila nahisi sio peke yangu,nilisikiliza comedy moja ya black america yule aliepigwa kofi na Wily Smith ,alisema usisikie sijui unaweza kunyuri mala mbili au tatu,alidau hayo ni maneno ya kupeana moyo tu,ukishapiga goli moja ndio imetoka ,kuendelea na game ni kutafuta kuadhirika ,alimalizia kwa msemo huo.

Sasa zipo dawa za kuondoa tatizo hili labda lifike lisaa na nusu au zaidi ?
Njia yangu kuu kila dizaini huisabu mara miatatu kisha nabadilisha, ndio angalau ninachukua muda mrefu.
kama si hivyo nikiguswa tu nishavuruga.
Eeh hii inamaajabu sana mtu anasoma mathe kwende sex isee🤣
 
Back
Top Bottom