Dawa ya kuchua maumivu kwa jina la Salimia. Je, bado ipo na inapatikana kwenye maduka ya dawa ya Tanzania?

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Wakuu habari za asubuhi kwetu sote, kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kufahamu juu ya uwepo wa dawa ya Kuchua Maumivu ya SALIMIA kama bado ipo na upatikanaji wake kwenye Maduka ya Dawa ya Tanzania hasa pharmacy kubwa na ndogo za mikoani.

Ni hivyo tu shukrani

Wadiz
 
Kwanini tafadhari fafanua kasoro zake na kama imekatazwa pia useme
nilishawahi itumia hiyo salimia sehemu utakapojichua patakuwa kama panawaka moto!!, badala yakuwa tiba inakuwa majanga tena sijui kama ulishawahi kuitumia! ila nakushauri tumia diclopar yakuchua ipo fresh sana hautajuta!
 
Naitafuta mno hii dawa sijafanikiwa kuipata. Hizi dawa zingine za kuchua ni feki tu wameziweka marashi tu utadhani perfume.

Salimia ilikuwa zaidi ya dawa ya kuondoa maumivu makali. Kama kuna mahali inapatikana tushtuane wakuu.
 
Diclopar ni fake nimeitumia mara kadhaa pamoja na wanafamilia kila mtu ameikataa haina maajabu.
 
Hii dawa ni nzuri sana nina muda sana sijaiona
Salimia Sloans Liniment(a.k.a. Masharubu) inatengenezwa Kenya, ilitangazwa sana kwa kutumia jina la Sir Stanley Mathews aliyekuwa mwingereza mchezaji bora wa mpira duniani miaka ya 50's. Pamoja kuwa ni dawa ya kuchua lakini pia ilikuwa unaweza kuweka kidogo sana kama robo kijiko cha chai kwenye chai.
Subiri nitakupa jibu inakopatikana.
 
Salimia Sloans inatengenezwa Kenya, ilitangazwa sana kwa kutumia jina la Sir Stanley Mathews aliyekuwa mwingereza mchezaji bora wa mpira duniani miaka ya 50's. Pamoja kuwa ni dawa ya kuchua lakini pia ilikuwa unaweza kuweka kidogo sana kama robo kijiko cha chai kwenye chai.
Subiri nitakupa jibu inakopatikana.
Nasubiri mkuu
 
Naitafuta mno hii dawa sijafanikiwa kuipata. Hizi dawa zingine za kuchua ni feki tu wameziweka marashi tu utadhani perfume.

Salimia ilikuwa zaidi ya dawa ya kuondoa maumivu makali. Kama kuna mahali inapatikana tushtuane wakuu.
Salimia ipo kila duka la dawa wewe,
Kama upo dar sema uko wapi nikuletee
 
Bado ipo lakini sio kila duka la dawa una
Screenshot_20240930-090910_Google Go.jpg
weza kuipata
 
nilishawahi itumia hiyo salimia sehemu utakapojichua patakuwa kama panawaka moto!!, badala yakuwa tiba inakuwa majanga tena sijui kama ulishawahi kuitumia! ila nakushauri tumia diclopar yakuchua ipo fresh sana hautajuta!
Formula iliyotengeneza salimia haikuweka mwembwe nyingi ni konki tunaweza kusema.

Formula iliyotengeneza diclopar gel ina mbwembwe nyingi, mafuta sijui emolient na kadhalika.

Kwa hivyo mtu akichua kwa nguvu sana kuchubuka ni rahisi akitumia salimia kuliko akitumoa diclopar gel.

Ndugu watanzania niwaase tu kwamba dawa zoye za kuchua hebu zitumieni kama za kupaka tu. Kama ni nguvu tumia kidogo. Dawa inasharabiwa vizuri tu maana imeandaliwa kwa kazi hiyo. Sio lazima uumie eti ndio dawa iingie.
 
Ni kweli
Mie napaka haya mafuta ni mazuri sn na wala hayahitaji nguvu kuchua. Pia hayafuki moto, yanaleta km ubaridi fulani. Km kuna sehem ina maumivu kwa muda inakuwa kama yanapotea.
Yanaitwa Songambele yanapatikana kwa Saleh Madawa tu, Kiponda Zanzibar kwa bei ya shlng elfu 8 tu
 
Attachments

  • 20240930_170022.jpg
    20240930_170022.jpg
    426.8 KB · Views: 9
Ni kweli
Mie napaka haya mafuta ni mazuri sn na wala hayahitaji nguvu kuchua. Pia hayafuki moto, yanaleta km ubaridi fulani. Km kuna sehem ina maumivu kwa muda inakuwa kama yanapotea.
Yanaitwa Songambele yanapatikana kwa Saleh Madawa tu, Kiponda Zanzibar kwa bei ya shlng elfu 8 tu
Asee hiyo ni nzuri, dawa za kiasili inabidi ziwe zinaenda hivyo kwa ushuhuda mzuri kama huu uliotoa (anecdotal evidence.

Mshauri huyo Songambele ajiwekee ukurasa wake BURE kupitia Sahili aiposti hiyo bidhaa yake.

Kwa kuwa ni nzuri akiendelea kupata positive reviews ya wateja walioridhika kama wewe hapo Malaika wa Plastiki 🤯😅😅 (utani)..... basi watu wengi zaidi watanunua dawa zake na watamuachia positive review.
Screenshot_20240930-184325_Chrome.jpg

Mjasiriamali yeyote anaweza kufaidika na Mtandao wa Wajasiriamali wa Sahili. Anakaribishwa maelezo yapo katika flier
 
Attachments

Back
Top Bottom