Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Kwanini tafadhari fafanua kasoro zake na kama imekatazwa pia usemenakushauri kama unataka kuitumia heri uachane nayo!, tumia dawa yakuchua iitwayo diclopar
nilishawahi itumia hiyo salimia sehemu utakapojichua patakuwa kama panawaka moto!!, badala yakuwa tiba inakuwa majanga tena sijui kama ulishawahi kuitumia! ila nakushauri tumia diclopar yakuchua ipo fresh sana hautajuta!Kwanini tafadhari fafanua kasoro zake na kama imekatazwa pia useme
Diclopar ni fake nimeitumia mara kadhaa pamoja na wanafamilia kila mtu ameikataa haina maajabu.nilishawahi itumia hiyo salimia sehemu utakapojichua patakuwa kama panawaka moto!!, badala yakuwa tiba inakuwa majanga tena sijui kama ulishawahi kuitumia! ila nakushauri tumia diclopar yakuchua ipo fresh sana hautajuta!
mh! labda kama imechakachuliwa sikuhizi! ndo dawa no moja nayoichagua linapokuja swala la kuchua!Diclopar ni fake nimeitumia mara kadhaa pamoja na wanafamilia kila mtu ameikataa haina maajabu.
Salimia Sloans Liniment(a.k.a. Masharubu) inatengenezwa Kenya, ilitangazwa sana kwa kutumia jina la Sir Stanley Mathews aliyekuwa mwingereza mchezaji bora wa mpira duniani miaka ya 50's. Pamoja kuwa ni dawa ya kuchua lakini pia ilikuwa unaweza kuweka kidogo sana kama robo kijiko cha chai kwenye chai.Hii dawa ni nzuri sana nina muda sana sijaiona
Nasubiri mkuuSalimia Sloans inatengenezwa Kenya, ilitangazwa sana kwa kutumia jina la Sir Stanley Mathews aliyekuwa mwingereza mchezaji bora wa mpira duniani miaka ya 50's. Pamoja kuwa ni dawa ya kuchua lakini pia ilikuwa unaweza kuweka kidogo sana kama robo kijiko cha chai kwenye chai.
Subiri nitakupa jibu inakopatikana.
Salimia ipo kila duka la dawa wewe,Naitafuta mno hii dawa sijafanikiwa kuipata. Hizi dawa zingine za kuchua ni feki tu wameziweka marashi tu utadhani perfume.
Salimia ilikuwa zaidi ya dawa ya kuondoa maumivu makali. Kama kuna mahali inapatikana tushtuane wakuu.
Ipo Namanga na Tarakea kwa shs.120/= za Kenya.Nasubiri mkuu
Kwa pesa yetu ni shilingi ngapiIpo Namanga na Tarakea kwa shs.120/= za Kenya.
Formula iliyotengeneza salimia haikuweka mwembwe nyingi ni konki tunaweza kusema.nilishawahi itumia hiyo salimia sehemu utakapojichua patakuwa kama panawaka moto!!, badala yakuwa tiba inakuwa majanga tena sijui kama ulishawahi kuitumia! ila nakushauri tumia diclopar yakuchua ipo fresh sana hautajuta!
Ni kweliFormula iliyotengeneza salimia haikuweka mwembwe nyingi ni konki tunaweza kusema.
Formula iliyotengeneza diclopar gel ina mbwembwe nyingi, mafuta sijui emolient na kadhalika.
Kwa hivyo mtu akichua kwa nguvu sana kuchubuka ni rahisi akitumia salimia kuliko akitumoa diclopar gel.
Ndugu watanzania niwaase tu kwamba dawa zoye za kuchua hebu zitumieni kama za kupaka tu. Kama ni nguvu tumia kidogo. Dawa inasharabiwa vizuri tu maana imeandaliwa kwa kazi hiyo. Sio lazima uumie eti ndio dawa iingie.
Asee hiyo ni nzuri, dawa za kiasili inabidi ziwe zinaenda hivyo kwa ushuhuda mzuri kama huu uliotoa (anecdotal evidence.Ni kweli
Mie napaka haya mafuta ni mazuri sn na wala hayahitaji nguvu kuchua. Pia hayafuki moto, yanaleta km ubaridi fulani. Km kuna sehem ina maumivu kwa muda inakuwa kama yanapotea.
Yanaitwa Songambele yanapatikana kwa Saleh Madawa tu, Kiponda Zanzibar kwa bei ya shlng elfu 8 tu
Kama sh 2500/=Kwa pesa yetu ni shilingi ngapi