Dawa ya kuchua maumivu kwa jina la Salimia. Je, bado ipo na inapatikana kwenye maduka ya dawa ya Tanzania?

Dawa za kuchua kipindi cha nyuma watu walitumia sana SALIMIA na CHAPA SHOKA,ck iz cdhan kama zinapatikana sana nowdays kuna DICLOPAR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…