Dawa ya kufunga mwanamke msumbufu atulie

Bolshevick

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2013
Posts
355
Reaction score
247
Jamani mwanamke wangu ananisumbua. Full usumbufu mpaka shughuli zangu haziendi vzuri kabisa. Naombeni msaada wa mambo ya kienyeji ya kumtuliza na awe submissive kwangu.
 
Jamani mwanamke wangu ananisumbua. Full usumbufu mpaka shughuli zangu haziendi vzuri kabisa. Naombeni msaada wa mambo ya kienyeji ya kumtuliza na awe submissive kwangu.
Piga chini arudi kwao akajifunze,vaa uso wa dume la mbuzi
 
mwambie tuachane,kuanzia leo mie na wewe basi hiyo ndo dawa kama alikuwa anakufanyia makusudi mwenyewe atagwaya kuomba radhi msiachane
 
usumbufu upi??anakuomba hela?anataka nanilii mara kwa mara??anadhurura sana??
 
Inaonekana wewe ni mvivu wa kuandika,sasa tutakushauri vp wakati hatujui anakusumbuaje!
 
Mwanamke kwa vile ni mzuri basi akitongozwa huko nje nyumbani full dharau. Full kukutoa kasoro na kuomba kuachana. Yani amani ya nyumbani sio guaranteed. Leo hii mnaweza kuwa na amani na baada ya hapo amani imekwisha.
 
Yani una settle ishu baada ya muda tena anaibuka na jipya
 
Dah...mgonge vizuri tu..ndiyo dawa yao hawa wadudu..[emoji4]
 
Mwanamke kwa vile ni mzuri basi akitongozwa huko nje nyumbani full dharau. Full kukutoa kasoro na kuomba kuachana. Yani amani ya nyumbani sio guaranteed. Leo hii mnaweza kuwa na amani na baada ya hapo amani imekwisha.
tafuta hela kaka ! hela ni suluhisho la mambo yote home
 
Mshughulikie ipasavyo muwapo sirini acha ubitozi wewe atatulia mpaka uje kulalamika humu tena .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…